Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Kitu kama computer naweza tumia njia gan nzur ambayo itakuwa na usalama? and DHL alwatatoza how much kutoka USA let say TEXAS or MARYLAND
 
Papizo, kuna mdau hapo mwanza alisema ametumia sanduku la posta(S.L.P), je hii njia ni nzuri kwa kuagiza vitu?
Vipi kuhusiana na kodi, ni vitu vyote wanakata kodi?

Kwanza samahani sana kwa kuchelewa kukujibu mkuu wangu Mr. madevu

Kwa upande wa sanduku la postal pia ni njia nzuri ila kwa upande mwingine vile vile na wenyewe watu wa postal watatumia hiyo hiyo njia kukubamiza na kukuibia mali zako ambazo umeagiza,maana hapo umetumia sanduku la postal.

Kwa ujumla ni bora kutumia address ya mtu ambaye ni muaminifu hata ya kazini kwake sema problem iliyokuwepo ni kwamba seller wengi huwa hawakubali ku post item kwenye different address zaidi ya address ya paypal maana ile ndio address halali,so upande wa kutumia S.L.P

Kuhusiana na kodi hilo sidhani kama ni tatizo kubwa sana kwenye ule mzigo wako ukiandikwa kama gift haijalishi kuna nini ndani hupaswi kulipa kodi maana ni vitu vyako ambavyo utatumia personal na sio business sasa huwezi kuchajiwa kodi....

Kama una more question feel free kuuliza mkuu wangu...

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Naomben mnfafanulie kuhusu kato la CRDB ekat unafanya online transuctions kam ifuatavyo;
1. Wanakata bei gan
2. Wanakata kwa mwez au kila ukfanya manunuzi?
3. Wanaanngalia na bidhaa ulonunua au tozo yao ipo constant without consider how much you draw to buy it.
4. Kama umeandika posta mfno ya chuo utaipataje aubuongoz ndo utakupa?
 
Mkuu tatizo langu ni for example kama atm card yako ni ya tshs and not $ will it work to buy from ebay. Au mpaka uwe na card which supports $??
 
Last edited by a moderator:
Ahsante Sana kaka... my last question was hivi only does it support only CRDB Visa card au also DTB and other bank cards as well

kadi yoyote ya visa au mastercard credit au debt card ya nbc, crdb, dtb n.k inafaa
 
Kitu kama computer naweza tumia njia gan nzur ambayo itakuwa na usalama? and DHL alwatatoza how much kutoka USA let say TEXAS or MARYLAND

Vitu kama hivyo bora kumtumia mtu unayemjua akununulie then kuna njia nyingi zipo siku hizi mfano UK kuna watu wanaweza kukutumia pia bila kuangaika na charge wala watu wa tax wewe mzigo wako unafika bila tatizo....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mkuu tatizo langu ni for example kama atm card yako ni ya tshs and not $ will it work to buy from ebay. Au mpaka uwe na card which supports $??

Haina tatizo mkuu wangu wewe tumia hiyo haijalishi hata kidogo maana watatoa hela kwa amount yao wanayotaka so usihofu kabisaaa....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mkuu C6 unaweza kutusaidia hapa ufafanuzi,labda nijibu nijibu majibu kadhaa katika hayo hapo,kwanza mkuu wangu me sina account ya CRDB naona mizinguo tu hao me natumia Barclays nina account ya Shillings,Pound na Dollars so sipo sure sana kwa hao CRDB wenyewe process zao zinakuwaje hasa ila kwa jinsi ninavyojua upande wa Barclays mfano me nikinunua anything with online banking huwa sikatwi amount yoyote ile seller ndio anakatwa kila kitu,kuhusu kwenye makato hamna anayeangalia bidhaa gani umenunua hiyo haijalishi mkuu wangu....

Nimegundua hizi bank za Tanzania wizi mwingi sana unafanyika na wanawaumiza sana wananchi kwa ---- service na charge za ovyo ovyo zisizokuwa na maana yoyote ile ila still nashangaa watu bado wanaangaika na bank za CRDB....

Nadhani kuna majibu mengine sijajibu maana sina uwakika nayo hasa ila mzigo wako kutumia postal fulani ni hatari bora ufikie ofisini kwa mtu moja kwa moja ni bora zaidi ila ukisema ufatilie kwenye postal wanazingua sanaaaa.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Haya maelezo safi kwa wanaotaka kupata huduma za bidhaa kwa bei safi na kwa uhakika. Kudos Comrade
 
Samahani kwa hili. Naomba kujua ni process zipi ulianza nanzo kuanzia unapoanza kui order na kuanza kulipia benk mpaka kukamilisha malipo yote na kusubiria product? Product naziona ila nashindwa kujua kuwa naanzia benk, au nafanyaje malipo. yaniunisaidie kujua kuanzia ulipoanza mpaka kukamilisha taratibu zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…