Just kutoa feedback jaman,tarehe 9 last month nilishukuru kwa michango ya watu kwenye hii thread na nilifanya transaction 2 kwenye aliexpress hatimaye jana nikapigiwa simu kuwa kuna barua yangu imefika lakini haina anwani(yaani p o box) nilijaza tu jina la mtaa ,mji,jina pamoja na namba ya simu.after 2 hours nilapata simu nyingine kuwa kuna mzigo umefika hii ni simu ya LG niliagiza kwenye website fastcardtech.com tarehe 11 june nao nikauchukua japo huu wa pili walidai kitambulisho na walihitaji kusain maana ni registered mail kwahiyo nasubiri tu usb moja toka aliexpress ambayo ni regular mail siwez ku itrack but walau nimepata matumaini.vifaa vyote vinafanya kaz poa kabisa.Big up chinese kwenye e-commerce wako vizuri.Kwa bigginers atleat hii itakuwa helpful kwenu.vitu yenyewe ndo hivo kwenye attachment
Safi sana kaka... hongera sanafastcardtech.com huko ndo nilipurchase,wanakubali malipo kwa njia ya paypal na shipping ni free kwa registered airmail mimi nilinunua trh 11 june nikaipata trh 1 July pale posta dodoma.
Watakuletea hadi nyumba/ osifisi kutegemea Physical address ambayo umewapo.Nilizoe free shipping hivi DHL nao uwa wanaleta mpaka posta???????
Nipo Mpanda Katavi huku hatuna DHL ipo Mbeya itakuwaje?Watakuletea hadi nyumba/ osifisi kutegemea Physical address ambayo umewapo.
Mzigo haupiti posta.
Utapigiwa simu pindi mzigo ukifika.
Kama unatumia Aliexpress mkuu hutakatwa kodi hata senti endapo kitu utachonunua kipo under option ya 'free shipping', tofauti na ukiagiza kupitia agents like DHL or FedeXNaomba kuuliza wakuu, vp kuhusu swala la kodi limekaaje? nataka kununua simu, vp mzigo unapofika, haulipiwi kodi? Lets say nataka kuagiza simu ya $400.
Ina maana registered airmail ndio kulipa kodi lazima????Kama unatumia Aliexpress mkuu hutakatwa kodi hata senti endapo kitu utachonunua kipo under option ya 'free shipping', tofauti na ukiagiza kupitia agents like DHL or FedeX
Sio zote mkuu. Pia mzigo ukiwa umetumwa kama gift hutakatwa kodi.Ina maana registered airmail ndio kulipa kodi lazima????
Ina maana huo mzigo utaukuta kwenye kile kisanduku cha posta kama tunavyoenda kuchukua baruaKama una sanduku la posta wanakutumia direct kupitia p.o.box yako....
Yaa ukifanya malipo kwa credit card moja kwa moja nadhani ni faida wakati mwingine mfano mimi nimewahi ku cancel order ya 12USD Aliexpress baada ya siku 7 nikakuta pesa imerudi kwenye account CRDB.Nadhani hata kwa AMAZON itakuwa hivoguys nna swali...kwaio kama amazon hawatumii paypal so kua refunded ni rahis sana kuliko ebay ambapo uez pokea ela ukirudshiwa au???
Anha thank u[emoji4]Yaa ukifanya malipo kwa credit card moja kwa moja nadhani ni faida wakati mwingine mfano mimi nimewahi ku cancel order ya 12USD Aliexpress baada ya siku 7 nikakuta pesa imerudi kwenye account CRDB.Nadhani hata kwa AMAZON itakuwa hivo
Inaezekana kukawa na hasara pia eh???... Em nipe few bfo cja decide...Yaa ukifanya malipo kwa credit card moja kwa moja nadhani ni faida wakati mwingine mfano mimi nimewahi ku cancel order ya 12USD Aliexpress baada ya siku 7 nikakuta pesa imerudi kwenye account CRDB.Nadhani hata kwa AMAZON itakuwa hivo
Hapa sijaelewa kidogo mkuu.Unamaanisha Hasara Wakati wa payment au refund?Inaezekana kukawa na hasara pia eh???... Em nipe few bfo cja decide...
Namaanisha hasara kutumia credit card directly yan....bila kutumia paypal...nataka kujuzwa...Hapa sijaelewa kidogo mkuu.Unamaanisha Hasara Wakati wa payment au refund?
Jaribu kuopitia hee thread vizuri majibu yote yapo humu mkuu ila kwa ufupi kidogo ni kwamba Hii inategemea na sites utakayotumia,cha msingi ogopa kufanya payment kwenye sites zisizo na mfumo ulio organized/centralized kwa ajili ya malipo yaani sites ambazo individual seller anaweza ku access credit card information zako kwahiyo kuna hatari badae akazitumia kwa manufaa yake.Namaanisha hasara kutumia credit card directly yan....bila kutumia paypal...nataka kujuzwa...