Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Naombeni mnisaide kama kuna mtu ana uzoefu na utatuzi wa tatizo hili.
Tafuta kadi kwenye benki nyingine.
- BancABC
- Equity Bank
- FNB
Kwa ujumla zipo banki nyingine nyingi ambazo zaweza kukupa hiyo huduma.
Ndani ya dakika chahe unapewa kadi iliyo tayari kwa matumizi mtandaoni.
 
usalama wa account yangu utakuwaje.?? Jesus inaweza Leta shida
 
Samahani wadau ni wapi pazuri na pa uhakika kufanyia manunuzi kati ya haya masoko mawili?
1. Ebay
2. Alibaba
 
pazuri na pa uhakika
Amazon
- Ni bora zaidi.
- Hakuna ubabaishaji ambao hujitokeza ebay ( mfano kwa ebay ; Bidhaa ya US $900 wanakuandikia US $60, ukilipia bidhaa inaondolewa na kuanza utaratibu wa refund )

Ila site zote ni salama iwapo unajua nini unachokifanya.
 
Asante sana
 
hatakama ukiwa huna sanduku la posta unaweza agiza
 
Amazon
- Ni bora zaidi.
- Hakuna ubabaishaji ambao hujitokeza ebay ( mfano kwa ebay ; Bidhaa ya US $900 wanakuandikia US $60, ukilipia bidhaa inaondolewa na kuanza utaratibu wa refund )

Ila site zote ni salama iwapo unajua nini unachokifanya.
Ebay ni shida sana niliagiza hair clippers nikafanya malipo vizuri ikawa comfemed, baada ya siku 5 naambiwa supplier ac yake imeingiliwa so wanarefund waliniboa kweli.

Sina mpango wa kununua ebay bora nibaki na Aliexpress na Gearbest
 
Nahitaji kununa line of chords rule amazon lkn nme shindwa msaada please nme check ipo moja wanasema hawa ship to tanzania nafanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…