Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Tangu lini?
Maana tarehe 08/01/2019 nime chukua Parcel zangu posta Chang'ombe.
 
Parcel zote sasa hv ni posta mpya hata kama una sanduku Mbagala ubungo gongolamboto nk. Kwa dar es Salaam
Wiki hii( Jana) nimechukua mizigo kadhaa kwenye posta ya wilaya yangu, kama ilivyo kwa mizigo mingine yote.

Ulipaswa kuuliza kulikoni mzigo wako haukufikishwa kwenye posta yako? wangekupa sababu, kuliko kufikia hilo hitimishi
 
Kwa aliyenununua items aliexpress hivi karibuni na kutumiwa mzigo kupitia Singapore post, naona Kama jamaa wanaship mapema Sana siku hizi!, ama ni mimi tu?,
Imechukua siku tisa tu toka niagize mpaka kufika kwa item ya kwanza, ya pili Imechukua siku 13 tu item nilizotumia China post. Ndo nasota nazo mwezi unakatika na hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa muda mrefu sasa nashindwa kufanya manunuzi
katika mtandao wa aliexpress.com,
kila ninapojaribu napata meseji hii,
"For security reasons this process can
not be continued. ISC_RS_5100102051"

Mitandao mingine nanunua kama kawaida.
Tatizo nini, nishajaribu njia kadhaa sikufanikiwa

Wiki hii( Jana) nimechukua mizigo kadhaa kwenye posta ya wilaya yangu, kama ilivyo kwa mizigo mingine yote.

Ulipaswa kuuliza kulikoni mzigo wako haukufikishwa kwenye posta yako? wangekupa sababu, kuliko kufikia hilo hitimishi
 
JINSI YA KUFANYA ILI UJUMBE HUO USIJITOKEZE
1. Fungua item husika
2. Click buy
3. Chagua Other payment method
4. Click confirm and pay
5. Itajitokeza ukurasa mpya wa kujaza card detail -USIJAZE CHOCHOTE NA CANCEL HIYO TAB
6. Rudi kwenye account yako, Click MY ORDERS
7. Chagua awaiting payment.
8. Hapo ingiza taarifa za kadi yako, na itakubali na manunuzi yatakuwa yamekamilika.


CHANZO CHA HILO TATIZO: Ni security issue katika mfumo wao wa malipo, aliexpress/ alipay, kwa mastercard.

UFUMBUZI WA KUDUMU: Kuwa na card mbadala ya kufanyia malipo - Tafuta VISA CARD
 
Kwanza nakushukuru kwa msaada wako wa
maelekezo mazuri sana. NImefuata hatua zote
na bahati mbaya order niliyoifanya wameicancel
kwa sababu kama za awali.
Natumia kadi ya BancABC ambayo ina VISA CARD
Na kwa kuongezea nimehashajaribu kununua kwa
masterCard ya VodaCom nayo nilipata majibu ya
for security reasons na order ikawa canceled

 
Natumia PC, browser ya Mozilla.
Nilishajaribu kwa simu pia ilinikatalia
kwa siku za nyuma.
#1. Chart na customer care aliexpress baada ya ku_login kwenye account yako

#2. Atakupa email ya wahusika wa mfumo wa malipo aliepress, ambapo utatakiwa ufanye attachment ya kadi yako -UKIWA UMEZIBA TARAKIMU ZA KATIKATI KWENYE KADI bali zionekane za mwanzoni na mwishoni tu.

#3. Wata weka sawa ( Whitelist ) IP yako na utaweza kutumia card yako kufanya miamala kama kawaida
 
Kama ulipewa tracing number ingia 17track utaona mzigo ulipo.
Kama vipi nenda Posta mjini chumba namba 7 watakuangalizia. Wamebadilika kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…