Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

habari, mara nyingi nikitaka kununua simu ebay napata ugumu kwa sababu simu nyingi zimeandikwa "without simlock" sasa hapa ndio panapo nipa ugumu bado sielewi wana maana gani?
 
Nataka niagize mzgo nnje msaada please [emoji1374][emoji1374][emoji1374]

Sent using Jamii Forums mobile app
Je ni msaada gani unao hitaji?

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
Afu naombeni msaada biashara gan toka nnje inaenda haraka apa bongo na nkiagza mzgo kwa njia ya post naletewa ad nlipo??

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya tafiti ya mahala ulipo, Je ni nini kinahitajika zaidi.
 
Ndugu zangu na mimi nahtaji msaada hapo jins ya kulink card paypal wanaikataa card yangu ya NMB MASTERCARD nifanye nn au nitmie card gan
 
Ni kweli PayPal huwezi kupokea hela ukiwa tz??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tafadhali naomba unielekeze jinsi ya kutrack mzigo wangu.
 
Naomba msaada kwa hili. Je kama nilitumia M-pesa MasterCard kununua bidhaa kule AliExpress na bidhaa haikufika, je naweza kurudishiwa fedha zangu kupitia M-pesa MasterCard? Maana niliona maelezo yao yakisema fedha itarudishwa kupitia kadi iliyotumika kufanya manunuzi. Msaada please.
 

Attachments

  • Screenshot_20190402-210719.png
    21.9 KB · Views: 62
Itarudishwa huko huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uwezako wa ku unlocked akaunti ebay..maana ya kwangu imefungiwa
1. Inatakiwa ujue ni kwanini account yako imefungiwa.

2. Huwa inatokea account kufungiwa iwapo ulishinda BID kadhaa na zote hukulipia hivyo seller wakakuripoti, na hupelekea account yako kufungwa. - Ufumbuzi katika hili ni
- Tengeneza email mpya
- Na ujisajiri upya.
 
Naomba kuuliza wana kama kunamatapeli uku ebay maana nimekuta pc inauzwa bei ambayo hata aiendani na pc yenyewe naomba kuuliza kama .so matepeli kweli awa
 
Naomba kuuliza wana kama kunamatapeli uku ebay maana nimekuta pc inauzwa bei ambayo hata aiendani na pc yenyewe naomba kuuliza kama .so matepeli kweli awa
Kwa EBAY usipoteze muda kwa bidhaa zisizo na uhalisia wa bei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…