Matapeli + HackerK sawa wanakua hucker or matapeli
Mmh so poa ivo unawezaje jua iii ni ya kwali au ya uwongoMatapeli + Hacker
Mfano hai.
- Kuna miamala 17 ilifanyika ebay/paypal kupitia account yangu, bila idhini yangu.
- Nikawasiliana na paypal , nikawapa taarifa, wakafanya uchunguzi juu ya hio miamala na fedha yote ikarudishwa.
View attachment 1080033
Sehemu ya attachment nikitoa taarifa bank warudishe fedha kwenye account yangu baada ya paypal kurudisha.
Hivyo kuwa makini na EBAY, ni salama ila sio salama pia.
#1. Inatakiwa uwe unajua bei halisi ya bidhaa husika huwa ina range kati ya US $ ngapi hadi ngapi.kwali au ya uwongo
Unataka link ya Amazon.com? Kwa nini usi search mwenyewe hiyo addressMkuu nataka nipate link ya Amazon.com vitu gani vinatakiwa na nitajiunga vipi"?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp kwa wale unakuta wamewekewa nyota tatu mpka 4#1. Inatakiwa uwe unajua bei halisi ya bidhaa husika huwa ina range kati ya US $ ngapi hadi ngapi.
#2. Tumia site kama AMAZON kuangalia bei halisi ya bidhaa husika then , linganisha na bei iliyowekwa EBAY
#3. Hakikisha unachagua bidhaa toka kwa Top Rated sellers , huwa wamewekewa logo kabisa
View attachment 1080439
#4. Hapo hapo ebay angalia bidhaa hiyo hiyo kwa seller wengine, kisha linganisha na huyo seller husika.
View attachment 1081226
binafsi nimefanya manunuzi ya online lakini ni deezer account , Netflix na kununua application za simu tu online , pia nimeunganisha account yangu paypal na VISA lakini sijawai kutumia paypal kufanya manunuzi , swali linakuja paypal wanaruhusu kutuma pesa tu kwa tanzania sio kupokea je inakuwaje transaction iki fail pesa yako inarudi vipi kwenye paypal kama hawaruhusu kupokea pesa.
Nimeshanunua vitu vingi Ebay na AliExpress lakini mbona Ebay kuna seller wengi wanakataa kutuma mizigo kwenye address zenye P.O.Box sasa sijuia bila box number unaweza kutumiwa mizigo kwa njia ipi.
Sasa physical address nitapataje mzigo na unajua sisi hatuna namba za nyumba na mitaa kama huko nje.Hapo unatakiwa uanze kuandika physical address halafu P.O.Box ndio iwe address ya pili.
Sasa physical address nitapataje mzigo na unajua sisi hatuna namba za nyumba na mitaa kama huko nje.
Me niliagiza cm all express processing time ikawa ndefu sana nikaamua kukancell order nikaambiawa refound ni ndani ya ck 15 unaamaana iyo ela cita ipata tenaMm eBay nachukuaga sana mizigo
Na bidhaa nyingi nauza humu jf
mkuu chief-mkwawa mm natumia box la chuo hivo silipiagi kitu chochote zaidi ya ile shiping fee iliyoandikwa na muuzaji
Kama alivyo sema chief-mkwawa inabidi kuangalia repitation ya seller
Maana mm kama mnakumbuka nilianzisha thread ya "hivi eBay ni genuine market place" sababu niliona iPhone 5 $14.99 na Mac book mpya $24.99
seller alikuwa wa china na akuwa na positive feedback hata moja
Baada ya dakika na baada ya mm kufanya payment nikaambiwa kwa email, item removed
Namshukuru Mungu nili open case nakikawa refunded lkn hadi leo hii refund sijawahi kuiona kwenye Bank statement naliamua chuna tu
HOPE YOU WILL LEARN FROM WHAT HAPPENED TO ME
Mimi mzigo nilioagiza seller alisema bidhaa ni mbovu atarefund haraka nikancel order.Nilicancel order hela ikaingia kwenye Mpesa Mastercard yangu moja kwa moja.Nadhani sasa hivi Aliexpress wako vizuri wakati wa kurefund.Me niliagiza cm all express processing time ikawa ndefu sana nikaamua kukancell order nikaambiawa refound ni ndani ya ck 15 unaamaana iyo ela cita ipata tena