Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

brother mimi nataka niagize kitu utanisaidiaje brother please alafu sijui chochote kuhusu hiyo process
 
kaka upo
 
nimefanya jaribio la kununua item za bei rahisi mpaka sasa nimetrack nimepata taarifa hizi.
je inamaana zimeshafika TZ?
 
Naomba kuuliza kama kuna duka online ambalo unawaza nunua vitu kama pc na uka ignor garama kama za window na microsoft office pc ikaja yenyewe kama ilivo
 
Naomba kuuliza kama kuna mtu ana experience na kununua kitu kutoka kwenye official website kama hp na dell maana kuna pc iko very cheep at dell store lakini very expensive at amazon & ebay
 
Naomba kuuliza kama kuna duka online ambalo unawaza nunua vitu kama pc na uka ignor garama kama za window na microsoft office pc ikaja yenyewe kama ilivo
Nunua kwa kampuni moja kwa moja
 
msaada
mimi ni mgeni wa kuagiza bidhaa online nimejaribu na nimetrack bidhaa mara ya mwisho nimepata information hii
LAO, (The item has been processed in the country of destination) je hapa kama niko mkoani siwezi kuutrack tena na nitajuaje kama umefika mkoa nilioko.?
 
Utapatà update mzigo ukifika mkoani
 
Tracking number zinazoanziwa na LAO mara huwa na namba pamoja na herufi 17 mfano LAODD1008098114XX, Na kwa system ya posta yetu tracking number zinaingizwa kwenye system ni 13 tu mfano UX293510578CN. kwa hivyo mzigo wako ukifika nchini kinachofanywa ni kuuwekea track number nyingine, na ni ngumu kufahamu hiyo tracking number mpya.
hivyo ni vema uwe unatembelea posta kuangalia kama kuna mzigo wako
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri.
 
Jamaa wanaweka bei ndogo ukitaka kilipia unakutana na hii
Alibaba ndo kuna tabia hii
Hi dear Josef, please visit official website to check it. Because price on Alibaba is not correct
Nimepata ujumbe huu
 
Hatimaye na mimi nimefanikiwa kununua bidhaa mtandaoni
Ni kutoka aliexpress kwa mpesa Mastercard na posta nimetozwa elfu 2 tu bidhaa ya laki 1
mkuu naomba mwongozo je nikishakuwa na m pesa master card nanunua moja kwa moja au lazima nijiunge na pay pal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…