Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Salama wakuu
Nataka kufanya malipo ya kununua machine alibaba seller nataka nimlipe kupitia PayPal payment ni kama $4500
Sasa nauliza kutoka CRDB Kwenda PayPal kuna makato yoyote kama yapo ni asilimia ngapi?
Nataka nifanye malipo leo
 
Hakuna malipo CRDB watakayokucharge bali kuna conversion/ rate toka Tsh to Dollar
 
Nimefanikiwa nimepasa sms kutoka posta kuwa parcel imefika
 
Nilinunua visaa viwili kwa siku moja na zilifika nchini siku moja zote lakini nimefika posta nimepata parcel ya saa moja tu wazoefu wa kununua online tatizo linaweza kuwa posta? Mimi niko mkoani
 
Ulizia hapo posts ulipochukua parcel inawezekana wamesahau hiyo ya Pili,Mimi ilitokea hivyo wiki moja iliyopita,kumbe yule anayechapisha vile vikaratasi vya kupokelea mzigo alisahau ikabidi akichape muda huo huo na nikapewa mzigo wangu,na ilikuwa posta ya mkoani
 
Nilinunua visaa viwili kwa siku moja na zilifika nchini siku moja zote lakini nimefika posta nimepata parcel ya saa moja tu wazoefu wa kununua online tatizo linaweza kuwa posta? Mimi niko mkoani
Naomba kujua posta walikucharge shiling ngapi?
 
Posta wanachukua bei gani..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…