Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Naona saa yangu imepotelea posta niliagiza saa 2 siku moja na kwenye kutrack zote zilifika siku moja tarehe 2 jun moja nimeipata nilichukulia posta mkoani Ruvuma ila nashangaa moja mpaka leo nafwatilia haijafika
 
Kampuni gani ilisafirisha.
 
Naona saa yangu imepotelea posta niliagiza saa 2 siku moja na kwenye kutrack zote zilifika siku moja tarehe 2 jun moja nimeipata nilichukulia posta mkoani Ruvuma ila nashangaa moja mpaka leo nafwatilia haijafika
Ulinunua kwa wauzaji wawil tofauti? Kama kuna shida sehem hiv!
 
Huo mzigo wa kwanza ulipigiwa simu na watu wa posta au ulijipeleka mwenyewe ukakuta upo? Wawezajipeleka uwaulize tena kama wameshaupokea au endelea kusubiri mana mimi nilinunua mizigo toka mwezi wa tano nikachagua shipping method ya Yanwen Economy Air Mail bila kujua kwamba kampuni hiyo ni kimeo. Mizigo miwili wakaiship kuja TZ na mwingine kwenda South Africa. Sasa Jumatano iliyopita nikafungua dispute jamaa wakanibembeleza kwamba niicancel ili isiwasababishie reputation mbaya kwenye store. Nikafikiriii nikasema ni kweli maana wauzaji hawana tatizo ila kampuni ya kusafirisha ndiyo ina matatizo, basi nikajidai niko serious baada ya siku tatu nikamwambia jamaa kwamba ngoja nicancel dispute ila ndani ya wiki mbili ajitahidi nipokee mzigo maana alikuwa ameniambia kwamba ndani ya muda huo mzigo utafika na usipofika nifungue tena dispute. Basi mtumwa wenu bado nasubiri.
 
Mimi posta walinitumia sms wenyewe ila nashanga parcel zote zilifika tz siku moja iweje moja ifike mkoani moja zaidi ya mwezi sasa haijafika
 
Mkuu kwani dispute haina muda maalum? Isije kuwa Jamaa wanakupotezea muda ili muda wa dispute uishe. Any way ,hao akina yanwen ,Malaysia post,nk wengine hata tracking number zao sio international ukienda POSTA wanakwambia hizo namba hazipo
 
Hv wadau kule ALIEXPRESS ukikuta simu bei ipo imeandikwa $110-123 hapo bei yenyewe ni ipi?
 
Huwa kuna muda maalum ila cha muhimu ni kuwaambia wa-extend buyer protection ili muuzaji asije akalipwa kabla hujapokea mzigo. Wasipoextend basi changamka ufungue dispute.
 
Hv wadau kule ALIEXPRESS ukikuta simu bei ipo imeandikwa $110-123 hapo bei yenyewe ni ipi?
Hapo huwa kuna chaguzi mfano labda bidhaa ile ile lakini material au rangi fulani ikawa na gharama ya juu kuliko nyingine, au bidhaa hiyo ikawa imeambatanishwa na kakitu fulani na nyingine haikuambatanishiwa au idadi fulani au ukubwa na urefu fulani au kutoka kwenye store zilizo katika nchi tofauti. Hapo sasa unachagua kile kinachokufit.
Kwa uchache tu.
 
Nashukuru ndugu
 
Pendelea kutumia courier service hawa:-
1.Singapore post
2.Ali express standard shipping (Singapore post)
3.hong Kong post
4.China post registered mail
5.PostNL
6.Sweden post
7.Asendia

Utapata mzigo wako ndani ya wiki 2-5.

Wengine wawaliobaki kama:-
1 China post small packet plus
2.4PX Singapore post OM pro,
3.Yanwen Economic Air Mail
Hapo subiria miezi 2+ au zaidi au usiupate kabisa.
 
China post registered mail siku hizi inachukua wiki 4 ila leo mzigo umeingia mapema zaidi yaani siku 13 tu tayari kitu hicho mkononi.
Nachoona hapa seller akiwa sharp kitu kinawahi.

China post registered mail siku hizi inachukua wiki 4 ila leo mzigo umeingia mapema zaidi yaani siku 13 tu tayari kitu hicho mkononi.
Nachoona hapa seller akiwa sharp kitu kinawahi.
View attachment 1166452

View attachment 1166453
Tatizo lao hawa China Post hawatabiriki mzigo unaweza ukawahi sana au ukachelewa sana, so kuepuka usumbufu mi huwa natumia SingPost pekee japo gharama zao ni juu kiaina, lakini ni uhakika ndani ya wiki tatu mzigo upo [emoji113].
 
Hao china sitarudia tena..bora nilipie kagarama fln hiv juu ili angalau nipate mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…