Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Mimi nilinunua wireless headphone ninesubiri zaidi ya siku 60 kwa singapore post
Ndio nimepata leo

Wewe utakuwa ulichagua 4PX Singapore Post OM pro ambayo inachelewa kinoma.
Singapore post yenyewe ilivyo faster ni hiyo niliyozungushia green rectangle jifunze kutofautisha
 
Kuna Parcel yangu imekwama processing center[DSM] toka Augost, 1. kila niki-track inaonyesha item imefika kwenye processing center toka tarehe 1.8.2019, hivi hawa watu wana shida gani?
Percel inapofika bongo muwe mnajaribu kuingia website ya Posta tz halaf utaenda domestic tracking
utaweka tracking number itakuonesha mzigo ulipo kwa wakati huo
 
Safi sana.
 
Kuna Parcel yangu imekwama processing center[DSM] toka Augost, 1. kila niki-track inaonyesha item imefika kwenye processing center toka tarehe 1.8.2019, hivi hawa watu wana shida gani?
Mimi toka tarehe 25/7/2019 Mzigo wangu uliingia Dar na tarehe 26/07/2019 ukawa Kariakoo mpaka sasa hivi inaonyesha umeingizwa kwenye limfuko la domestic sijui linalinganaje sasa au mzigo umejibanza kwenye kona ya limfuko hilo hahahahahaha!?
 
Wakuu niliagiza kitu sasa baada ya muda naambiwa delivery failed ..Nimejaribu kuwasiliana na seller lkn hajibu ..Na nikijaribu kufungua Dispute naambiwa "under construction"..Aliexpress
 
Wakuu niliagiza kitu sasa baada ya muda naambiwa delivery failed ..Nimejaribu kuwasiliana na seller lkn hajibu ..Na nikijaribu kufungua Dispute naambiwa "under construction"..Aliexpress
Nenda posta ukaulizie,mara nying huwa unakuwa upo nchini sema wanashindwa kufanya alocation km unakuwa hujaweka address sahihi.
 
Wakuu niliagiza kitu sasa baada ya muda naambiwa delivery failed ..Nimejaribu kuwasiliana na seller lkn hajibu ..Na nikijaribu kufungua Dispute naambiwa "under construction"..Aliexpress
Hiyo delivery failed ina maana uliweka physical address (Zip Code) ambapo kwa hapa Tz bado hatujaanza kuzitumia, hivyo hiyo ndiyo iliyofail ila bado kuna option ya pili ya kwenda posta wewe mwenyewe au subiri watakupigia simu wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…