Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Mkuu hawa Aliexpress garama zao zipoje kwa mizigo midogo km xim nguo nk?
"Mr.mobile,Asante sana kwa ufafanuzi mzuli. Lakin nawezaje kuwasiliana na muuzaji maake nime jalibu kuwatumia message lakin sijibiwi ntaweza kuwasiliana nao?Mara nyingi kwa items ndogo ndogo wauzaji wengi wa Alibaba wanasafirisha kwa njia za haraka kama DHL, UPS, EMS etc. Mara nyingi gharama za usafirishaji ni makubaliano yako ww na muuzaji. Kwa njia za haraka mara nyingi mzigo uwasili nchini ndani ya siku 14.
"Mr.mobile,Asante sana kwa ufafanuzi mzuli. Lakin nawezaje kuwasiliana na muuzaji maake nime jalibu kuwatumia message lakin sijibiwi ntaweza kuwasiliana nao?
Wauzaji wa AliExpres mara nyingi hawajibu kwa wakati sijui shida ni nini. Kwa Alibaba wanajibu on time."Mr.mobile,Asante sana kwa ufafanuzi mzuli. Lakin nawezaje kuwasiliana na muuzaji maake nime jalibu kuwatumia message lakin sijibiwi ntaweza kuwasiliana nao?
Mimi huwa natumia free shipping maan huwa sina haraka sana ya vitu nnavyoviagizaMkuu ni shipping method gani ulitumi kusafirishiwa mizigo yako.
Inategemea na kitu unachotaka kama ni new, refurbished au usedMkuu hawa Aliexpress garama zao zipoje kwa mizigo midogo km xim nguo nk?
Hio ni hatua ya awali ya mzigo kutumwa kuja Destination country Tanzania. Mzigo umekua dispatched (kiswahili kigumu),.Nmeagiza simu kwa mara ya Kwanza kupitia alliexpress, status wameniwekea, Despatched to overseas (Country code: TZ), mana yake nn
Kwa kuongezea ni kwamba kwa hatua hii mzigo upo njiani kutoka kituo chao cha kusambazia mizigo kuja TZ.Hio ni hatua ya awali ya mzigo kutumwa kuja Destination country Tanzania. Mzigo umekua dispatched (kiswahili kigumu),.
Sasa hv wameandika arrived in destination country, awaiting custom s clearance. Naomba kujua inaweza kufika mwanza baada ya muda ganKwa kuongezea ni kwamba kwa hatua hii mzigo upo njiani kutoka kituo chao cha kusambazia mizigo kuja TZ.
Baada ya mda kidogo utaambiwa mzigo umeshafika nchini na hiyo ndio itakuwa update ya mwisho.
Mkuu samahani.mkuu umekipokelea wapi? yani hamu yangu kubwa ni kujua process ya shiping ipoje
Samsung Official wapo Tanzania ni vyema kununulia hapa hapa tu. Hio hata warrantt itakuwa haina.Mkuu samahani.
Nimejaribu kutizama bei ya baadhi ya bidhaa kwenye ebay naona bei yake ni kali kama hapa tu.
Mfano samsung A40 wanataka $250 na zngine zaidi ya hapo wakati juo kibongo bongo 450k unapata.
Au kun kitu sijaelewa mkuu?
Kuhusu bei vipi mkuu?Samsung Official wapo Tanzania ni vyema kununulia hapa hapa tu. Hio hata warrantt itakuwa haina.
Simu zao zinakuwepo tu madukani kuzijua zinakuwa na sticker za warranty za smart care.Kuhusu bei vipi mkuu?
Nawapataje hao official?