Jifunze jinsi ya kufunga tai kwa sekunde kumi tu

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Inawezekana umeolewa halafu bwana anataka kwenda kazini unatakiwa umuandalie mavazi lakini vyote unaweza ila kwenye kufunga tai unaumbuka, unaonekana mshamba pengine kukaripiwa na kuharibiwa siku asubuhi
au pengine wewe ni kijana unaishi kwako mwenyewe na unataka utoke na mtoko wa tai ila unaishi peke yako lakini na hakuna mtu wa kukusaidi jirani.

Hii video hapa itakusaidia namna ya kufunga tai kwa sekunde kumi tuna ni njia rahisi sana

Your browser is not able to display this video.
 
Kufua nimfulie,nimnyooshe
e tai tu Ashindwe kujifungia?Duh atasubiri sana kufungiwa tai na mie
Akienda kwa mwenzio wanavurugana akitoka kuoga anakuta tai imeshafungwa kila kitu kiko kama ametoka nyumbani jifunze tu hutapungukiwa kitu
 
Before i met you i never knew what if was like to
able to look at someone and smile for no reason ... rubii
 
Thread inakuwa yako kabla ya kuiposti, ila ukishaiposti inakuwa sio yako tena, inakuwa ni mali ya umma,,,, kwahiyo usiwe mbinafsi hii ni yetu sote mwaya
i mean hicho ulichopost kinahusiana vip na hii thread?
 
Ahsante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…