Jifunze jinsi ya kufunga tai kwa sekunde kumi tu

Jifunze jinsi ya kufunga tai kwa sekunde kumi tu

Inawezekana umeolewa halafu bwana anataka kwenda kazini unatakiwa umuandalie mavazi lakini vyote unaweza ila kwenye kufunga tai unaumbuka, unaonekana mshamba pengine kukaripiwa na kuharibiwa siku asubuhi
au pengine wewe ni kijana unaishi kwako mwenyewe na unataka utoke na mtoko wa tai ila unaishi peke yako lakini na hakuna mtu wa kukusaidi jirani.. hii video hapa itakusaidia namna ya kufunga tai kwa sekunde kumi tuna ni njia rahisi sana

I like it, its very very simple
 
asante shule, ilinifanya nijue kufunga tai.
 
Ufungaj wa Tai una staili nyingi sana, ukipata muda ongezeaa kidogo kaama zile za Trinity staili
 
Back
Top Bottom