Jifunze Jinsi ya kujipatia pesa mtandaoni Bure kabisa

Jifunze Jinsi ya kujipatia pesa mtandaoni Bure kabisa

cc12

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
1,018
Reaction score
397
Jinsi ya kujitengenezea kipato bila ya kutoka jasho

​

Je wajua kuwa unaweza kujitengenezea kipato kwa njia rahisi tena bila ya kutoka jasho?

Ndio, sisi wataalamu wa kutengeneza website nzuri, za kisasa na zenye viwango vya kimataifa tunakuwezesha wewe mtanzania kuweza kujipatia kipato kwa kila mteja utakayemleta kwetu ambaye anahitaji kutengenezewa website. Tunatengeneza website za aina mbali mbali kwa ajili ya matumizi ya aina mbali mbali kama vile:

  • Personal websites
  • Business/Corporate websites
  • Entertainment websites
  • Directory & Listings websites
  • eCommerce websites
  • Real Estate Websites
  • Blogs & Forums

Malipo ya fedha taslimu Tshs.25,000 kwa kila mteja utakaye mleta kwetu.

Kwa yeyote anayehitaji kutengenezewa website au kama una mtu unayemfahamu amabaye anahitaji kutengenezewa website tafadhali usisite kuwasiliana nasi kupitia anwani zifuatazo:
Mobile: +255 768 444 224
 
Ndugu nilitaraji kuona website yako ili tupate mfano, lakini hata kwenye mawasiliano umeandika anuani na umeishia kuandika no yako ya cm. Mimi pia ni muhitaji watu wanataka shuhuda. Tuwekee hata yako kamahuna ni shida.
 
Bizney,we noma,
Yaani umestukia,maana sifa kibao halafu yeye mweupe.
Tena yupo Kimataifa zaidi.
Naamni angeweka tangazo Simple basi kwake ingekuwa ni vyema zaidi.
Lakini hapo ndio sheeda watu wanataka kuona website yake kwanza
 
Hahahaaaaa! Unamambo weye, umefanya mimi Cheka, yaaani unasema jamaa full mbwembwe maujiko kedekede lakini kwenye mambo ya msingi empty. Hahahahaaaaa! Jamaa anayo mambo tatizo wabongo bado hatujawa smart kwenye kujitangaza.

Tatizo ni kutokujua mahitaji ya wahitiji. Jamaa katangaza lakini muundo wa tangazo lake unazalisha maswali. Naamini atatuwekea shuhuda ya kazi zake. Hawezi kuwa mtu wa maweb designer then atwambie email yake ni [email protected]
 
Back
Top Bottom