Angalia hapa njia mbalimbali za kukufunza jinsi ya kukunja nguo. Hii ni nzuri sana hasa ukiwa na nafasi ndogo ya kuweka nguo na hata muda wa kusafiri, inafanya ndio zako zinakuwa katika mpangilio mzuri na hazijikunji ovyo.
Jinsi ya kukunja shati
Your browser is not able to display this video.
Jinsi ya kukunja tisheti
Your browser is not able to display this video.
Jinsi ya kukunja suruali/jinz
Your browser is not able to display this video.
Jinsi ya kukunja boxer, hii hata ukijaribu kwa chupi za wanawake inakubali japokuwa yenyewe itakuwa kaduchu zaidi
Your browser is not able to display this video.
Ungependa kujifunza kitufanya kitu gani kingine, niambie ntakusogezea hapa chaap!