JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Mwekezaji anayetaka kununua
hisa atafuata taratibu zifuatazo:
a) Kuwasiliana na dalali wa soko la hisa na kumweleza kusudio lako la kununua hisa
b)Kujaza fomu maalum za kununua hisa na kulipia hisa unazotaka kununua
c) Dalali ataweka fedha kwenye akaunti maalum ya benki kwa ajili ya kununua na kuuza hisa za wateja
d) Dalali ataweka oda yako ya kununua hisa kwenye mfumo wa kompyuta wa soko la hisa akitumia namba maalum ya mteja.
e) Iwapo bei unayotaka kununulia hisa itafanana na bei ya mwekezaji mwingine anayetaka kuuza, basi atakuwa amekununulia hisa hizo. Mwekezaji atapokea cheti cha kuthibitisha kuwa ni mwekezaji kwenye kampuni hiyo.
Upvote
2