Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

Jifunze Kifaransa kwa kucheza (Awamu ya kwanza)

Tout est facile mes amis,il nous faut uniquement de faire des efforts
 
Mnaonaje tukiunda group la whatsapp la kujifunza kifaransa?
Whatsapp tunaweza kuuliza na kujibu maswali kwa haraka zaidi,hata kutuma picha na videos kwa haraka. Je pense c'est bon idee, et vous mes amis?
NB: huu uzi JF bado utaendelea kuwepo.
Bien sur,le groupe nous aidera de comprende bien la langue française,naunga mkono hoja
 
Mnaonaje tukiunda group la whatsapp la kujifunza kifaransa?
Whatsapp tunaweza kuuliza na kujibu maswali kwa haraka zaidi,hata kutuma picha na videos kwa haraka. Je pense c'est bon idee, et vous mes amis?
NB: huu uzi JF bado utaendelea kuwepo.

Kuwa na group la whatsapp ni wazo zuri, lakini mkumbuke kwamba mnaweza kuhatarisha usalama wenu.
Unaweza toa hoja kerefu humu ndani ukaanza kutafutwa kwa group. Whatsapp groups kwa sasa si mahali salama kutoa mawazo huru kwani kuna nusanusa humo...!!

Tafakari...!!
 
hahahha unaweza kutafutwa kwa kujifunza lugha? na pia ndio maana nimeweka link ya kujiunga moja kwa moja hakuna haja ya kunipa namba wala kuweka humu jukwaani.

click here kujiunga Learn French Language
 
Mkuu cosa nostra, vipi kireno kinapanda? Kusema ukweli Mimi na kifaransa kama mafuta na maji, kwanza uandishi wake ambapo herufi zake huwa zinaduwaza sana, pili utamkwaji wake aisee ni shida! Asa sijui nifanyeje
kireno kinaendana sana na spanish mimi hakipandi
 
La robe est rouge

Nipo magunzoni na ile app ya Duolingo... Asanteni wakuu
 
Back
Top Bottom