Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu bei ya soya kwa msimu huu ilifikia kiasi gani kwa kilo?Usijali... Nipo kwa ajili yako/yenu.
Well, nadhani humu ndani kuna uzi unaozungumzia hili suala la Sumu katika ganda la Soya .
Upitie hapa: SOYA inasababisha Kansa?
Na kama unahitaji somo zaidi kuhusu Jamii zote za mbogamboga hizi zenye sumu na namna ya kuziandaa vizuri, fungua kitabu hiki hapa mpenzi nimekupa zawadi..
Kuna lingine?! Lilete..
Ninayo soya nimevuna tani 7. Nauza sh.1600/= per kilogram, karibu kama unahitaji nipo songea lundusi.kwangu mm soya inaweza kuwa muhimu kwa kuwa nataka kufuga nguruwe na kuku wa kienyeji.
hivyo imeninufaisha kwa kuwanataka kulima mahindi na soya ili viumbe wangu niwaandalie chakula mwenyewe
Kwa ajili ya kuuza soya yako, wasiliana na kiwanda cha TANFEED MOROGORO.. wanahitaji soya kwa kukamua mafuta na kutengeneza chakula cha mifugo pia.Ninayo soya nimevuna tani 7. Nauza sh.1600/= per kilogram, karibu kama unahitaji nipo songea lundusi.
ShukraniKwa ajili ya kuuza soya yako, wasiliana na kiwanda cha TANFEED MOROGORO.. wanahitaji soya kwa kukamua mafuta na kutengeneza chakula cha mifugo pia.
Swali zuri sana,mnunuzi mkubwa wa soya hapa nchini ni nani?kwa msimu huu soya iliuzwa sh. ngapi kwa kilo? na ni akina nani wanao inunua?