JIFUNZE: Kilimo bora cha zao la Soya

mkuu bei ya soya kwa msimu huu ilifikia kiasi gani kwa kilo?
 
kwangu mm soya inaweza kuwa muhimu kwa kuwa nataka kufuga nguruwe na kuku wa kienyeji.

hivyo imeninufaisha kwa kuwanataka kulima mahindi na soya ili viumbe wangu niwaandalie chakula mwenyewe
Ninayo soya nimevuna tani 7. Nauza sh.1600/= per kilogram, karibu kama unahitaji nipo songea lundusi.
 
Ninayo soya nimevuna tani 7. Nauza sh.1600/= per kilogram, karibu kama unahitaji nipo songea lundusi.
Kwa ajili ya kuuza soya yako, wasiliana na kiwanda cha TANFEED MOROGORO.. wanahitaji soya kwa kukamua mafuta na kutengeneza chakula cha mifugo pia.
 
Somo zuri.. Ila mbona mavuno yanakuwa kidogo hivyo, kilo 600 hadi tani 1 kwa ekari?!
 
Mwenye utaalamu na mzoefu wa kilimo cha Soya beans naomba ushauri na maelekezo ya kilimo hicho.
 
HEKO JAMII FORUMS NI KISIMA CHA ELIMU:

Natoa pongezi zangu Kwa uongozi wa JAMII FORUMS Kwa jinsi mlivyonipatia SoMo la kilimo la Soya beans.

Keep it up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…