DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,976
- 3,130
Ngoja nami nijaribu hiki kilimo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimeoza mkuu. Hizo ndo zinaanza kuoza na si makovu.Kuna zilizooza au ni hayo makovu tu???
Zimeoza mkuu. Hizo ndo zinaanza kuoza na si makovu.
Zimefungiwa labda kama mmwagiliaji anazimwagia maji vibayaUmefungia hizi nyanya au zinalala kwenye udongo na maji?
Kwa namna matunda hayo yanavo onekana, inaonesha wazi kuwa jua liliyachoma vema na vile vile hayakupata matunzo sahihi mkuu, af piah angalia maji unayo tumia huenda ni chumvi nyingi mkuu
Zimefungiwa labda kama mmwagiliaji anazimwagia maji vibaya
Hili ndo tatizo hasa. Kitako kinakakamaa. Dawa yake ni hipi mkuu?Nilitegemea zinakua hivyo halafu zinakakamaa na kuweka weusi sababu kuna niliyoiona hapo inasifa hizo sasa unaposema halafu inaoza inaweza kua na tatizo zaidi ya moja yaani ina
Kuoza kitako (blossom end rot) na pia kuna
Tuta absoluta (kantangaze).
Confirm kwanza kama zinaoza au haziozi,kama zinaoza naomba picha moja ya iliyooza hapa
![]()
Hii ni blossom end rot,kitako kinakakamaa hakiozi
Hili ndo tatizo hasa. Kitako kinakakamaa. Dawa yake ni hipi mkuu?
Can sijaweka. Nimeweka sa+urea. Nitaweka can + kuongeza maji maana pale jua ni kali.Hiyo ni ukosefu wa calcium,umetumia mbolea ya can??
Pili vipi maji unanyesha ya kutosha???
Can sijaweka. Nimeweka sa+urea. Nitaweka can + kuongeza maji maana pale jua ni kali.
Nitalifanyia kazi haraka. Pia nina tikiti limeanza kutoa maua ila mengi yanakauka na kudondoka. Msaada wakoDuh that,ni muhimu sana mmea wq matunda kupata calcium ndio inayotengeneza ngozi ya juuvya tunda na kutengeneza mbegu pia hivyo kufanya tundi zuri na zito
Nitalifanyia kazi haraka. Pia nina tikiti limeanza kutoa maua ila mengi yanakauka na kudondoka. Msaada wako
Nakushukuru sana mkuu. Unatambuaje ya kiume na kike?Weka can na maji ya kutosha sio uzidishe,ukikosa calcium na maji kwenye mmea mengi yatakukumbuka kama ya maua kudondoka au matunda kuoza chini.
Pia tazama yanayodondoka ni ya kiume au ya kike?tazama matunda yapo
Weka can na maji ya kutosha sio uzidishe,ukikosa calcium na maji kwenye mmea mengi yatakukumbuka kama ya maua kudondoka au matunda kuoza chini.
Pia tazama yanayodondoka ni ya kiume au ya kike?tazama matunda yapo
Nakushukuru sana mkuu. Unatambuaje ya kiume na kike?
Inayofwata hapo ni urea mkuu... Ndani ya wiki mbili zijazo kutoka leo... Weka urea ili mmea uwe na majan na rangi ya kijani ya kutosha... Kumbuka majan ndio yanatumika kutegeneza chakula cha mmea na mpaka hapa mmea umefikia hatua ya ukuaji...Wakuu nimeufuatlilia huu uzi kwa umakini sana toka mwanzo, nimejifunza mengi sana katika kilimo hiki cha nyanya. Mimi ndo nimeanza mwaka huu kilimo hiki nimeanza na nusu eka kwa majaribio ila pia nimetumia hizi mbegu za kawaida nia yangu ilikua ni kujifunza kwanza kabla ya kuingia rasmi. Nimeshatoa miche kitaluni kuamishia shamba, nimetumia DAP katika kuoteshea. Naomba kufaham mbolea gani inafuata bada ya hapo na ni baada ya muda gani niiweke miche inasiku tano toka niioteshe shamba na pia nimenunua buster ya WUXAL naomba kujua kipimo cha kuweka kwa solo la lt 20. Natanguliza shukrani wajasiria mali wenzangu
Inayofwata hapo ni urea mkuu... Ndani ya wiki mbili zijazo kutoka leo... Weka urea ili mmea uwe na majan na rangi ya kijani ya kutosha... Kumbuka majan ndio yanatumika kutegeneza chakula cha mmea na mpaka hapa mmea umefikia hatua ya ukuaji...
Nb: kabla ya kuweka urea hakikisha umemwagilia maji kwanza...