Jifunze kingereza fasah hapa kwa miezi 2 tuu

Jifunze kingereza fasah hapa kwa miezi 2 tuu

mhh kazi ipo,nilitaka niyatapike ya rohoni but kwasababu umesema ni mbinu za mwalimu basi hatuna budi kuheshimu,
i wish you the all best of lucky on your program..
 
Weeengi hawajui ,kikubwa wanaweza kukosoa na kukosoa ni kazi rahis ila ngumu ni kazi
 
mhh kazi ipo,nilitaka niyatapike ya rohoni but kwasababu umesema ni mbinu za mwalimu basi hatuna budi kuheshimu,
i wish you the all best of lucky on your program..
Hyo syo njia sahih, hpna ila ni mbinu gani utatumia kuwafundisha watu wakuelewe kwa urahis na harak ns wakat huo watu hao ni watu wenye majukum meengi??? Na sio watot???
Mkuu nilikua naomba garama zako hata kwa pm
Ni muhitaji mno wa kujua lugha ya kiingereza. Pia naomba maelekezo ni namna gani ya mnafundusha na muda gani na malipo ni ya namna gani. Japo ki financial sipo vizuri lakini nina nia mno. Kila la heri
 
Huwezi kupata pronunciation sahihi kwa unavyofanya. Ukienda katika nchi za Asia na kingereza cha pronunciation za kiswahili wachache watakuwa wanakuelewa, kwa nchi zinasongea kingereza wengi watakuelewa.
We hebu toka hapa! usituletee ujuwaji, si uanzishe darasa lako. Kilamtu na mbinu zake bhana.
 
We hebu toka hapa! usituletee ujuwaji, si uanzishe darasa lako. Kilamtu na mbinu zake bhana.
We mjinga hata kiswahili hujui siwezi kubishana na wewe. Ujuwaji ndio nini sasa?
 
Hata wewe naona unahitaji upingwe brush ya English course, huwezi ukaweka phonetics za maneno ya kingereza kwa kiswahili ukiamini mwanafunzi atatamka neno hilo kwa ufasaha.
Acheni ngebe zenu.

Mwalimu anafundisha kutokana na mazingira ya wabongo wengi maneno English huwa ni magumu sana kuyatamka.
 
Back
Top Bottom