Jifunze kubet kwenye Basketball, ni afadhali sanaa kuliko Football

Nauliza vp zile point wanazoweka kwamfano unakuta wameweka (over 164.5) inamaana ni Yale magoli wanayofungana jumla iwe 164 kwa robo zote 4 au
 
Dah hii kitu ukitulia unapiga hela nimeangalia game moja mpk robo ya 3 tayari ishatoa over 180
 
Hpn lzm uangalie mambo yalivyo lkn game za SAA tano unusu asbh hii nimeweka ngoja niangalie
 
Tuelezee hii mbinu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…