Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hapo kwanza ncheke
 
Sahihi
 
Nitafanya ivo kwa mwanamke ambaye ni bikra, mwenye miaka kuanzia 28 na kuendelea.
 
Unaacha kuwafundisha wasihubiri ile 50/50 ili wapate hizo pesa we unatuaminisha upuuzi,madhara ya kutokupewa pesa unayajua wazi yameanzishwa na wao,nitoe pesa yangu ya jasho kwa lidada lenye wanaume zaidi yangu nani kakudanganya??
 
Ukute uyo mdada unaemtumia hela kuna mwanaume mwingine anakula hapo hajawahi kutoa hata sh 10, na anapewa vinono kuliko wewe unaetoa hela
Na mara nyingi inakuwaga hivyo, alafu kile unacho muhonga na yy anahonga kwa jamaa anaye mpenda.
 
Una hoja mkuu.. Nakuunga mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…