Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Kindly refer to the heading above..

Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]

Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.

Au,

AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337

Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.

Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always" [emoji4] .

Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).

Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh baby nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali" [emoji23], wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k

Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.

Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.

N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.
Endelea kujidanganya. Mwanamke hata umpe nini, haeleweki. Hata mwanamke mwenyewe hafahamu ni nini anataka sembuse wewe ujifanye kumpa pesa kwa surprise? Wanawake ni nyoko mkuu; huwajui vizuri.
 
Nasikia mwl wao ni kipofu tena alisha kufa, anampanga mtu mwingine wakati huo uko naye akidhani huwezi kugundua kumbe una mchora tu Tena anapokea simu bila wasi ili uwe Mpole
 
Eva/Hawa alipewa vyote atakavyo,
lakini alimponza mshkaji(Adamu).
Hawa viumbe hawa.....hiiiiiiiii!
Unamkumbuka Delila?
Alikosa nini kwa Samsoni?
 
Kindly refer to the heading above..

Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]

Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.

Au,

AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337

Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.

Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always" [emoji4] .

Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).

Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh baby nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali" [emoji23], wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k

Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.

Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.

N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.
Wanakuja PM
 
Mie sifanyi mwamala wala mwamalaya na bado najitafunia mbususu za kutosha hapa Dom kiasi kwamba niking'ata mtoto wa mtu huwa haniachi mpaka nimchoke mwenyewe nimpige tukio
 
Uongooo
 
Kuna watu waliwasomesha mpk chuo wanawake wao kwa kigezo cha kumuonesha upendo ila kilichotokea "Siyo kweli"
Mwanamke ni kama nyumba, fundi aliyeezeka bati na kupaka rangi ndiyo anapongezwa sana kwa kufanya kazi kuliko fundi aliyejenga msingi mpk matofali.
Daaah🤣🤣
 
Kindly refer to the heading above..

Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]

Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.

Au,

AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337

Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.

Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always" [emoji4] .

Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).

Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh baby nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali" [emoji23], wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k

Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.

Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.

N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.
Extrovert
 
Aya ndo mambo sasa ☺️
 
Love don't cost a thing.

Mwanamke atatumia hizo pesa zako kutumia na mpnz asiye na pesa hata cent Moja.
Kwani kadiri unavyompa pesa ndy anaamini kwamba penzi lenu linaendeshwa Kwa pesa zako na sio true Love.
 
Inategemeana unajua kuna mambo mengi kwenye mapenzi unaweza ukawa unatuma pesa unakuta mwanamke hakupendi anampenda pesa zako unakuta mwanamke Hana hisia na wewe na hawezi kukwambia na unaweza ukawa unatuma hio pesa unakuta anampelekea bodaboda anampenda na anaemkuna vizuri omba mungu sana na hawa wanawake mungu akupe mtu sahihi
 
Back
Top Bottom