Jifunze kumuacha aende

Asante kwa somo zuri, nahisi furaha yangu imerudi ghafla baada ya kusoma hii kitu.

MUACHE AENDE....

Ngoja nifute na namba kabisa maana nimebembeleza hadi nimechoka.
 
Asante kwa somo zuri, nahisi furaha yangu imerudi ghafla baada ya kusoma hii kitu.

MUACHE AENDE....

Ngoja nifute na namba kabisa maana nimebembeleza hadi nimechoka.
Ni uamuzi mzuri na najua itakuwa ngumu sana mwanzoni ila jitahidi kujiweka busy na mambo mengine ili uweze kumsahau

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Hello jf,katika mapenzi unaweza mpenda mtu na kumuona wa thamani sana but akaja kukufanyia mambo ambayo yakakuumiza sana kiasi kwamba ukashindwa hata kufanya mambo yako ipasavyo na pengine umejaribu kujishusha japo mkosaji ni yeye lakini bado hakuna changes zozote kila kukicha afadhali ya jana,hali inapofikia hapo huna budi kumuacha aende sio kwamba umechoka kumpenda lakini ni kutokana na maumivu anayokusababishia moyoni mwako. Using'ang'ane na mtu anayekuumiza moyo MWACHE AENDE TU then move on with your life,Japo mwanzo ni mgumu but utazoea tu and u will get the right one on a right time.
 
Kwakweli umeongea ukweli kabisa.... unakuwa unajitahid kujitolea kumpenda lakin.. wapi. kuliko kuendelea kuumia.. ni bora uka mwacha aende zake... ili uishi kwa aman kuliko kuishi kwenye majonzi kila cku.
 
Mkuu,nafikiri hujawahi kupenda kisawa sawa,isikie kwa wenzio tu,unapenda mpaka unachizika,kumuacha huwezi ila cha moto unakiona.
 
Mkuu,nafikiri hujawahi kupenda kisawa sawa,isikie kwa wenzio tu,unapenda mpaka unachizika,kumuacha huwezi ila cha moto unakiona.
Hata upende vipi kuna muda huna budi kumuacha aende na sio kwamba umpendi but ni kutokana na maumivu anayokusababishia moyoni mwako,jifunze kufanya hivo itakusaidia.
 
Hata upende vipi kuna muda huna budi kumuacha aende na sio kwamba umpendi but ni kutokana na maumivu anayokusababishia moyoni mwako,jifunze kufanya hivo itakusaidia.
Nashindwa kumuacha bhana,maana mavituz anayonipa napagawa,akiwa mbali napata kisebusebu na kiroho kinapasuka,inabidi nikubali yaishe at least niambulie ngoma ya ukae,kuliko ukame ukinishika nipate wazimu sababu ukame wangu anaeweza kuutoa ni yeye tu hapa duniani bhana,mbona huelewi?enyi wanawake nawapa sifa jamani,sisi wanaume mkitufikisha penye naninhii basi hatuna ujanja tena.
 
Basi sawa lakini yakikufika vema uta surrender tu
 
Basi sawa lakini yakikufika vema uta surrender tu
Nimo humo humo unapopasemea,yaani mwanamke wangu ni full problem lakini malighafi anazo,hapo ndo nashindwa kumuacha kabisa,sababu ana visima vya chemchem ya mapenzi,tena nyuma na mbele.
 
mtoto hajambo bibie??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…