Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Hii ni nyama Gani kwanza🤣🤣 ili nijue naanzia wapiTulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali
Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi
View attachment 3558734
Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na baada ya hpo weka zako vitunguu kaanga mpaka vilainike na uwke karoti na nyanya usiweke hoho kwasababu kuna mboga za majani hoho sio muhimu hapa
View attachment 3558735
Nyanya yako ikiiva weka mboga za majani mm napenda mboga za majani zisiive sana ndio maana naweka mwishoni
View attachment 3558736
Kama hivyo kisha changanya vizuri pole pole baada ya dakika chache nikazima jiko baada ya kuona mboga yangu imeiva nilivyo taka
View attachment 3558738
Baada ya hapo nikasonga ugali vizuri nika kata na utamaduni wetu swafiiii
View attachment 3558739
Baada ya hpo nilisahau juice yangu aseee ila nimeshiba ile mbaya karibuni iki chakula
Ni cha hamu
View attachment 3558740
Kabisa ni kidogo tuHayo majani hayapaswi kuiva sana
Kuna wapumbavu hapa watakuja kusema mara Haram mara tumefunga utadhani walishikiwa bastola kuamini wanachokiamini
Nguruweee 🤣Hii ni nyama Gani kwanza🤣🤣 ili nijue naanzia wapi
Wale wa mtoni ? 🤣🤣 Walikua wanaogeshwa kila sikuNguruweee 🤣
Aisee hadi mate yamenitoka hapa 😋.
Kuna nyama nyingine halafu kuna kitimotoTulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali
Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi
View attachment 3558734
Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na baada ya hpo weka zako vitunguu kaanga mpaka vilainike na uwke karoti na nyanya usiweke hoho kwasababu kuna mboga za majani hoho sio muhimu hapa
View attachment 3558735
Nyanya yako ikiiva weka mboga za majani mm napenda mboga za majani zisiive sana ndio maana naweka mwishoni
View attachment 3558736
Kama hivyo kisha changanya vizuri pole pole baada ya dakika chache nikazima jiko baada ya kuona mboga yangu imeiva nilivyo taka
View attachment 3558738
Baada ya hapo nikasonga ugali vizuri nika kata na utamaduni wetu swafiiii
View attachment 3558739
Baada ya hpo nilisahau juice yangu aseee ila nimeshiba ile mbaya karibuni iki chakula
Ni cha hamu
View attachment 3558740
Hao hao 🤣🤣Wale wa mtoni ? 🤣🤣 Walikua wanaogeshwa kila siku
Utanenepa sanaAisee hadi mate yamenitoka hapa 😋.
Yaani kesho natapika halafu naenda kukaa chini ya mti uliokaribu na msikiti wa hapa jirani ilikusudi niwarushe tu roho wale wanaokwenda kuswali.
Mbona watafungua bila kupenda?!
Ndugu yangu katika imani Monetary doctor njoo tuone msosi mtamu.
Mbaga Jr.
Ujakosea kabisaKuna nyama nyingine halafu kuna kitimoto
Aisee utamu wa kitimoto inabidi uchunguzwe na FBI, hii nyama itaniua walahi 😋😋
Nimepita pale wakati naenda MH niliona mmeongeza Gate.🤣🤣 Lwaaa nda Hana mbambambaHao hao 🤣🤣
Nguruwe namkubali sana bhana.Utanenepa sana
Nahitaji kitimoto 🐖 nifuturuNguruwe namkubali sana bhana.
Bado kuzinduliwa siku ukiingia ndani utasema kwelii pame badirika sanaaNimepita pale wakati naenda MH niliona mmeongeza Gate.🤣🤣 Lwaaa nda Hana mbambamba
Jitahid umjue kumpikaNguruwe namkubali sana bhana.
Waulie makobaziKwa wenzetu mliotembelea uko saudia na uarabuni mbona hamtupi mlejesho wa mapishi na utamu wa ngamia?