Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Thank you.You are so beautiful
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank you.You are so beautiful
Ahsante mkuu ujumbe murua sana.Kwenye MAISHA bila kujali wewe ni MWEMA kiasi gani ni lazima kuna watu ambao hawatakupenda, bila kujali umefanikiwa kiasi gani lazima kuna watu WATACHUKIA mafanikio yako, bila kujali unafanya nini kuna watu WATAKUSEMA VIBAYA. Hili ni jambo la kawaida sana.
Kitu ambacho watu waliofika juu huwa wanafanya ni kutumia Mkakati unaitwa "IF",yaani "IGNORE and FOCUS".Yaani huwa wanaamua kwa makusudi KUPUUZIA kila kisicho na Msingi na KUAMUA KUFANYA YALE ya MSINGI.
Ukweli ni kuwa hauwezi KUMRIDHISHA kila Mtu,Kadiri UNAVYOPANDA juu ndivyo WAKOSOAJI wako wataongezeka.Jifunze KUPUUZIA yasiyo na MAANA ili NGUVU YAKO isiishie KUBISHANA na KUWAJIBU watu bali ITUMIKE kufukuzia MALENGO YAKO.Pima kila jambo,kuna mambo ukianza kuyajibu ndio UNAYAPA NGUVU na UNAYAKUZA.
CHAGUA CHA KUJIBU,CHAGUA WA KUMJIBU,Sio KILA KITU na sio Kila MTU anastahili MUDA WAKO-Macho yapeleke Kwenye MALENGO YAKO.Kumbuka una MUDA mchache,Usikubali UPOTEZEWE Muda na WATU ambao WAMESHAPOTEZA mwelekeo.
See You At The Top
[HASHTAG]#TIMIZAMALENGOYAKO[/HASHTAG]
Thank you.