Jifunze kusikiliza nafsi yako, usiende kinyume na mwili wako..!

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Kama kila siku unafanya Kitu Fulani na nafsi inakuwa very smart kukifanya Kitu hiko

Basi siku ukiona nafsi IPO tofauti na matakwa yako jifunze kutiii
Mungu hawezi kushuka akakwambia Leo sehemu Fulani hapana hawezi kushuka Ila anatumia mwili wako huo huo kukupa signal kuwa something Is wrong today.

Sometimes anaweza kumtumia life partner (mke) mtoto hata rafiki wa karibu kukupa caution
Sasa kama unafanya Kitu kilekile siku zote Ila siku inakuja Roho inakataaa Basi acha mapema.

Roho inakuambia usipande bodaboda Basi acha

Nafsi inakuambia Leo usitoke unaona kabisa mwili unakaataa Basi tulia kubali nature

Unaona kabisa Roho inakataaa kwenda town Leo tulio home usiforce.

Hakuna kitakacho tukuta bila taarifa never!!?
Wewe mwenyewe ni Shahidi Nina amini kuna siku ulikosana na janga simply Roho ilikataaa

Jifunze kusikiliza nafsi yako
 
umesema ukweli mkuu. Hua tunapata signal but tunapuuzia.

Kuna kijana alinisimulia alivopata ajari mbaya ya gari akavunjika sana na sasa ni kilema. anasema alikua kituo cha daladala akisubiri gari la kwenda rout ya nyumbani kwao, but ilikua haiji zinakuja zingine tu.(ni hapa hapa dar), but ikaja ya rout tofauti na yao, ila sio mbali sana. Akawaza akifika ataweza tembea tu kiasi anafika nyumbani, ila nafsi ilikua inskataa kabisa, inasita sana (akawa confused), ile gari inataka kuondoka akashtukia tu ameirukia akaingia akakaa kwenye seat kisa awahi nyumbani. Kilichotokea mbele imebaki story[emoji17], anajuta why hakusubiri exactly gari inayompitisha nyumbani kabisa?

Mungu hua anatuambia anything ili kutulinda, but tunadharau zile feelings tunazopata, iwe za woga au kulazimisha kitu, kumbe ni sauti ya Mungu[emoji17]
 
Fact kaka mkuu YANI ndio mithiani ya Mungu IPO Ila kuna signal ambazo sometimes unazifahamu baada ya tukio unasema daaah ndio maaana
 
Kama kila siku unafanya Kitu Fulani na nafsi inakuwa very smart kukifanya Kitu hiko

Basi siku ukiona nafsi IPO tofauti na matakwa yako jifunze kutiii
Mungu hawezi kushuka akakwambia Leo sehemu Fulani hapana hawezi kushuka Ila anatumia mwili wako huo huo kukupa signal kuwa something Is wrong today.

Sometimes anaweza kumtumia life partner (mke) mtoto hata rafiki wa karibu kukupa caution
Sasa kama unafanya Kitu kilekile siku zote Ila siku inakuja Roho inakataaa Basi acha mapema.

Roho inakuambia usipande bodaboda Basi acha

Nafsi inakuambia Leo usitoke unaona kabisa mwili unakaataa Basi tulia kubali nature

Unaona kabisa Roho inakataaa kwenda town Leo tulio home usiforce.

Hakuna kitakacho tukuta bila taarifa never!!?
Wewe mwenyewe ni Shahidi Nina amini kuna siku ulikosana na janga simply Roho ilikataaa

Jifunze kusikiliza nafsi yako
Mungu ashukuriwe maana yeye mwenyewe anaingilia kati pale nafsi zinaponyamaza kwa wale wenye imani
 
Kama kila siku unafanya Kitu Fulani na nafsi inakuwa very smart kukifanya Kitu hiko

Basi siku ukiona nafsi IPO tofauti na matakwa yako jifunze kutiii
Mungu hawezi kushuka akakwambia Leo sehemu Fulani hapana hawezi kushuka Ila anatumia mwili wako huo huo kukupa signal kuwa something Is wrong today.

Sometimes anaweza kumtumia life partner (mke) mtoto hata rafiki wa karibu kukupa caution
Sasa kama unafanya Kitu kilekile siku zote Ila siku inakuja Roho inakataaa Basi acha mapema.

Roho inakuambia usipande bodaboda Basi acha

Nafsi inakuambia Leo usitoke unaona kabisa mwili unakaataa Basi tulia kubali nature

Unaona kabisa Roho inakataaa kwenda town Leo tulio home usiforce.

Hakuna kitakacho tukuta bila taarifa never!!?
Wewe mwenyewe ni Shahidi Nina amini kuna siku ulikosana na janga simply Roho ilikataaa

Jifunze kusikiliza nafsi yako
Mambo ya Astral projection
 
Hizo ni instincts, binafsi naziamini kuliko hata wazazi wangu, ila Sasa lazima uwe na utulivu safi wa kifikra na kuondoa makando kando Ili utofautishe kati ya instincts zako na za kubambikiwa zinazotokana na stress, ushirikina nk.
 
Ni sahihi kabisa juu ya hili kuna kipindi nafsi huongea nasi ila hatuzipi uzito

Kuna kipindi tulikuwa tunamiliki mali fulani na wife ambayo ilikuwa inatuendeshea maisha,tukaamua kuiuza,ila nafsi ilikuwa inasita sana kuiuza mali hiyo,tena si mara moja

Kilichotokea baadae tulipitia msoto mkali ambao iilibidi wife na watoto waende kwao kwanza

Haya mambo yapo
 
Hizo ni instincts, binafsi naziamini kuliko hata wazazi wangu, ila Sasa lazima uwe na utulivu safi wa kifikra na kuondoa makando kando Ili utofautishe kati ya instincts zako na za kubambikiwa zinazotokana na stress, ushirikina.
Nawezaje kuwa na utulivu wa nafsi ili kuondokana na makando kando Hao mkuu
 
Ni sahihi kabisa juu ya hili kuna kipindi nafsi huongea nasi ila hatuzipi uzito

Kuna kipindi tulikuwa tunamiliki mali fulani na wife ambayo ilikuwa inatuenseshea maisha,tukaamua kuiuza,ila nafsi ilikuwa inasita sana kuiuza mali hiyo,tena si mara moja

Kilichotokea baadae tulipitia msoto mkali ambao iilibidi wife na watoto waende kwao kwanza

Haya mambo yapo
😂Mkuu wewe umeongea Kwa hisia Kali Sana Nina amini unakitu kikubwa Sana Unaweza kutuelekeza sisi kama wadodgo zako
 
Yaap hii Iko hv pia moyo ni msemaji ukweli ktk maisha ya kiumbe chochote I:e human being (binadam),kuliko utashi(akili),hv zngatia sana msukuma wa moyo kuliko akili inasema nn,usikilize moyo cku zote.
 
Back
Top Bottom