Jifunze kusikiliza nafsi yako, usiende kinyume na mwili wako..!

Hizo ni instincts, binafsi naziamini kuliko hata wazazi wangu, ila Sasa lazima uwe na utulivu safi wa kifikra na kuondoa makando kando Ili utofautishe kati ya instincts zako na za kubambikiwa zinazotokana na stress, ushirikina.
Ukiwa sio Mtu wa wanawake hizi nguvu hutenda kwa kiwango kikubwa
 
Hizo ni instincts, binafsi naziamini kuliko hata wazazi wangu, ila Sasa lazima uwe na utulivu safi wa kifikra na kuondoa makando kando Ili utofautishe kati ya instincts zako na za kubambikiwa zinazotokana na stress, ushirikina.
Wachache sana wanaweza Kuzichambua na ni ambao wanatenganisha nafsi na Uchafu..
 
Back
Top Bottom