Jifunze kusoma Alama za Nyakati. Siku ukiona Ulinzi ni Mkubwa basi jua kuwa Usalama ni Mdogo

Wanazuoni wanatuvuruga mpk tuanze kujichanganya kwa kukosa uelekeo
Hapana, wanakuonesheni njia sahihi, huko nyuma ndiko mlikovurugwa mkajichanganya na kukosa uelekeo.

Ila, ni kawaida kwa watu kupata "cognitive dissonance" wakioneshwa njia sahihi baada ya kukubali njia isiyo sahihi kwa miaka mingi sana.

Unachokielezea hapo ki saikolojia kinaitwa "cognitive dissonance".
 
Naam. Ngoja tuzidi kuchimba maarifa mkuu
 
Yesu kaja duniani akiwa complete. 100% soul. pure. Kaingia kwenye tumbo la Bikira Maria kwa njia ya Roho Mtakatifu. So its clear, yeye ni exceptional.

Kuna dini zingine za kale zina muundo wa kiimani unaofanana na huu, means hao miungu yao imetumia similar purity inayofanana na hii.

So..jiongeze. na ujifunze zaidi..maana elimu haina mwisho
 
Nafahamu vingi Sana Ndugu ,vingine vya sirini na vingine vya Hadharani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…