Jifunze kusoma Alama za Nyakati. Siku ukiona Ulinzi ni Mkubwa basi jua kuwa Usalama ni Mdogo

There is joy and revelry, slaughtering of cattle and killing of sheep, eating of meat and drinking of wine! “Let us eat and drink,” you say, “for tomorrow we die!” Isaiah 22:13
Ni somo zuri la kujifunza na mafunzo yenye kutia moyo pale ulipoanguka.
Asante mwandishi kwa wakati wako kwa kushare nasi
 
Hiyo samweli 16:14 -23
ielewe vizuri na tafsiri yake. Roho wa bwana ni Nuru. Nuru ikitoka, mana yake giza linaingia. Giza ni shetani. Ukisikia roho mbaya toka kwa mungu mana yake shetani. Hii roho ilifukuzwa toka kwa Mungu. shetani alifukuzwa Mbinguni. Nuru na Giza havikai pamoja. Tujitahidi kuwa na roho wa Mungu ili roho mbaya kutoka kwa Mungu iondoke. Kitabu cha Biblia mara nyingi huwa katika (code) usipojaliwa kufungua code utaambulia pumba tupu na kuwalisha watu mapumba. Zingatia hilo kwenye mada zako. Mungu hana roho mbaya anayetolewa kwa kufukizwa au kutulizwa. Hata Daudi aliposhika kinubi akapiga, mana yake alimsifu Mungu wake, Roho wa Mungu(Nuru) hushuka, hapo pepo(giza) lazima likajifiche kama sio kukimbia. Hivyo njia ya kukimbiza roho mbaya(shetani) ni kumwita roho wa Mungu sio kupunga pepo/kulituliza.
Nimeweka sawa kipengere hicho ili lisitafsiriwe ndivyo sivyo
 
Tunaendelea kujielimisha, wote hatujafika mbinguni. unakubaliana na usemi kwamba, shetani anaweza kufunguliwa au akaachiwa aje kutesa watu?
pia najiuliza: hivi shetani sio bidhaa/mali ya Mungu. Kama jibu ni ndio, Wewe huwezi kutumia mali yako kipindi flani kwa manufaa yako?
Pia Najiuliza swali* pale walipofunguliwa hao malaika wabaya ni mbinguni ama sehemu ingine?
Je; nitakosea nikisema shetani na mapepo yake ni malaika wabaya wa Mungu? waliofukuzwa Mbinguni na kufungiwa sehemu wakisubiri hukumu?
Tutambue Biblia huwa katika code katika baadhi ya mistari; Mungu hufungua hizo kode kwa watu wake katika nyakati azitakazo yeye kupitia roho wake.
 
Sawa Ndugu , Tuzidi kujielimisha
 
Ni Kweli kabisa mortuary Kuna maiti, Ila msibani kuna mwili wa marehemu,

Wanawake kadhaa baada ya kuteuliwa kwenda mortuary kuosha maiti, walifanya Tendo Hilo bila tone la chozi,

Lakini walipomaliza kuosha na mwili kuletwa msibani, ilipofikia hatua ya kuaga mwili wa marehemu, machozi yaliwatoka Hadi wengine walizimia😳
 
Daaaaaaaa
 

bro..mimi kama kijana ninayependa kujifunza na kujitafutia sana maarifa,nimefaidika na andiko lako..nimejua vitu ambavyo nilkuwa sivijui..ahsante ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…