RafikiElimu
Member
- Mar 1, 2013
- 11
- 7
Taasisi ya RafikiElimu Foundation, inapenda kuwatangazia vijana wote wa kitanzania, nafasi za kushiriki katika mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali. Bidhaa zitakazo fundishwa ni pamoja na UTENGENEZAJI WA MAFUTA YA KUJIPAKA, LOSHENI na MANUKATO.
SIFA ZA WASHIRIKI : Mtu Yoyote anaweza kushiriki katika mafunzo haya.
ADA YA KUSHIRIKI : Ada ya kushiriki katika mafunzo haya ni Shilingi ELFU ISHIRINI NA TANO TU ( Tshs. 25,000/= ).
Mafunzo yatafanyika kwa muda wa siku tatu kuanzia tarehe 01 AGOSTI 2013 hadi tarehe 03 AGOSTI 2013.
MAHALI : Mafunzo haya yatafanyika katika Chuo kikuu cha Dar Es salaam.
Mwisho wa kujiandikisha ni tarehe 28 JULAI 2013.
WAHI KUJIANDIKISHA MAPEMA, KWANI NAFASI ZILIZOPO NI CHACHE.
Kwa maelezo zaidi, PIGA : 0756606085 au 0782405936.
AU Fika katika ofisi z etu zilizopo katika eneola CHANGANYIKENI karibu na CHUO CHA TAKWIMU.
Tembelea: RafikiElimu FOUNDATION
EWE KIJANA WA KITANZANIA, TUMIA FURSA HII KUPATA UJUZI UTAKAO KUWEZESHA KUJIAJIRI MWENYEWE NA KUKUONGEZEA KIPATO CHAKO.