Jifunze kutengeneza lotion nzuri kwaajili ya ngozi

Jifunze kutengeneza lotion nzuri kwaajili ya ngozi

hiyo michanganyiko ungeiandika Kwa kiswahili tu ingetosha sana ...
 
Kwa anaye taka KUJIFUNZA KUTENGENEZA LOTION serum za kutoa sugu mokorogoo aina zote kwa ajili ya biashara ada ni 10000 0620121211
 
Unajua nilikuwa nashangaa vipodozi wanasema OG ila watu wanakuwa wanajichubua indirectly/ siku hizi tunaita brightening....🤣

Kumbe Steroids zimo humo ndani. Hatari Sana.

Screenshot_20211117-152225.png
 
In a nutshell I'm against the use of and inclusion of BETNOVATE also known as Bethamethasone Valerate as part of your product ingredients. The drug is a potent Steroid/Corticosteroid that should be prescribed for treating/relieving various skin conditions such as itching, swelling and other forms of skin allergic & disease conditions e.t.c

https://www.drugs.com/cons/betnovate.html (See under Proper use of Betnovate / Betnovate Side Effects)

https://www.dermatocare.com/blogs/betnovate/ (See under Common Side Effects of Steroids)
 
Mkuu Yna2, VP upatikanaji wa hizo ingredients, ni maeneo gani ni rahis kuzipata??
 
Back
Top Bottom