anWriter free HTML editor - Apps on Google Play
Hiyo hapo juu ni sawa na bracket editor ya pc lakini kufanya preview ya page inayotengeneza inatumia h tu HTML viewer ya android, hii haifanyi rendering ya page kuwa smooth kama browser kwa kuwa Kuaccess file HTML kwenye android huwa halisomwi director na browser mpaka ufungue browser na ulitafute kwa kutumia uelekeo bar yaani file://... ndio linaji render.
Kuhusu keyboard iko poa maana special characters zote zipo.
Ushauri wangu:
Kama uko serious ni bora ukatafuta pc hautasumbuka.
Tatizo kubwa la android ni issue ya file access kama una kiwebsite flani jkikitupia humo file zote za html, JavaScript na css ukiongeza picha zinatengewa kutoka kwenye folder moja yaani zinasambaa. Kwa hiyo itakubidi uzipange tena.
Kama hauna pesa ya pc tafuta tablets yoyote maana ina kioo kipana kwa kuwa kwenye smartphone itatakiwa kila unapoona interface basi u deal na media query ili uone vizuri.