iam_cipher
Senior Member
- Feb 21, 2020
- 120
- 70
Kama unamaanisha server kwa ajili ya kudevelop website kwa php, ndio ipo na inafanya kazi fresh, labda sijakusoma.
Slfahamu sana kuhusu hizo computer, ila kulingana na maelezo ya manufacturer wake, kama wewe ni mpenzi wa window os hutaweza weka window os humo, maana inakuja na os yake inayofanana na linux kwa hiyo linux, ubuntu au os za aina hiyo zinaweza fanya kazi vizuri na keyboard yake si kama pc zetu.ahaaa...
halaf nlitaka nifahamu kama unazifahamu pc zinzitwa SYSTEM 76
Slfahamu sana kuhusu hizo computer, ila kulingana na maelezo ya manufacturer wake, kama wewe ni mpenzi wa window os hutaweza weka window os humo, maana inakuja na os yake inayofanana na linux kwa hiyo linux, ubuntu au os za aina hiyo zinaweza fanya kazi vizuri na keyboard yake si kama pc zetu.
anWriter free HTML editor - Apps on Google Playmimi nataka nijaribu kutumia simu kutengeneza website(a front-end)... hiv kuna editor gan nzur ya html, css na JavaScript ambayo naweza kutumia kwenye simu?
anWriter free HTML editor - Apps on Google Play
Hiyo hapo juu ni sawa na bracket editor ya pc lakini kufanya preview ya page inayotengeneza inatumia h tu HTML viewer ya android, hii haifanyi rendering ya page kuwa smooth kama browser kwa kuwa Kuaccess file HTML kwenye android huwa halisomwi director na browser mpaka ufungue browser na ulitafute kwa kutumia uelekeo bar yaani file://... ndio linaji render.
Kuhusu keyboard iko poa maana special characters zote zipo.
Ushauri wangu:
Kama uko serious ni bora ukatafuta pc hautasumbuka.
Tatizo kubwa la android ni issue ya file access kama una kiwebsite flani jkikitupia humo file zote za html, JavaScript na css ukiongeza picha zinatengewa kutoka kwenye folder moja yaani zinasambaa. Kwa hiyo itakubidi uzipange tena.
Kama hauna pesa ya pc tafuta tablets yoyote maana ina kioo kipana kwa kuwa kwenye smartphone itatakiwa kila unapoona interface basi u deal na media query ili uone vizuri.
Shukrani kwa Elimu Mkuu.NOTE:
Ninaposema troubleshooting tool maana yake ni tool inayoweza kukusaidia kujua na kutatua tatizo lolote kwenye PC.
sifundishi ila najaribu kukufumbua macho ukae ukifahamu kuwa hauitaji knowledge kubwa kutatua matatizo madogo madogo ndani ya PC yako.
Kumbuka kila kifaa kimeundwa na mfumo wake unavitu vidogo vidogo vinavyoendesha icho kifaa, sasa wamekiambia kifaa kwa kutumia lugha ya kifaa hicho kuwa kama kukitokea tatizo flani basi tatizo hilo litawakilishwa kwa code number flani.
Hivyo hivyo mtumiaji wa kifaa hicho ameundiwa software inayoweza msaidia kutatua tatizo la kifaa hicho bila kujua maana nzima ya code number flani, hapa namaanisha kuwa software hiyo ndiyo itatambua maana ya error code flani na kutatua au kupendekeza solution.
Sasa turudi hapa kwenye PC,
Watu wengi wamekuwa waking'ang'ana na google sio mbaya ila inamajibu mengi ya kila mtu ya uongo yamo, ya kweli yamo na vuguvugu yamo.
Sasa kama hauna knowledge utachagua na kuchagua, kujaribu na kujaribu lakini mwisho wa siku unaamua kutumia muda na nguvu nyingi kumbe ungemtumia fundi aliyemo kwenye PC yako ungemaliza mapematatizo lako.
Haujawahi kuta PC ina tatizo labda la network au graphic driver n.k, ukaamua kudownload software unayoamini itatarua tatizo na mwisho wake ulipoteza muda na mb au gb kadhaa?. Je, unaona sio tatizo?
Mwingine anapiga window kumbe tatizo RAM imakaa vibaya huoni kuwa unasumbumbuka na kupoteza vitu muhimu.
mfano: pc inakuambia error code flani pale unapofungua software flani baada ya kuinstall. tumia troubleshooting tool kucheck kama software hiyo ina match na OS yako kabla hauja unstall na kuinstall tena. Kumbuka software zingine zinachukua muda kuwa installed na kuwa uninstalled. Je, huoni hasara hapo?
mfano: pc haitaki kuunganishwa na wifi na wewe naye unaenda karuta au k'koo au unaanza tafuta driver na kila unayopakua inakataa kisa wifi na wakati unaweza kutumia troubleshooting tool kwa ajili ya network problem kwenye hiyo pc kwanini usianze na hiyo. Cheki mb zimeshapotea.
kuna wakati mwingine mambo mengine ni setting tu za PC wala sio driver n.k.
Mifano ni mingi acha nikomee hapa.
Troubleshooting tool ni built in software kwa window os, cheki kwenye pc yako pale kwenye window icon au alama ya window kisha search "Troubleshooting" hii ni software inayobeba diagnostic tools kadhaa, kwa hiyo unaweza click tool flani ili kukusaidia kutatua tatizo flani.
mfano ukiifungua hiyo software utakuta tool inaitwa "programs" hii itakusaidia kucheki problem zinazohusiana na program/software related issues na zingine ziko pale kama "hardware and sound" na "network and internet" na "system and security"
jaribu kufuata maelekezo hapo juu kwanza, kisha tutaendeleaShukrani kwa Elimu Mkuu.
Mimi PC Yangu haifanyi Kazi Kasa,Mpaka natumia Mouse ku operate. Msaada nawezaje Kuitatua? Tatizo hili lilitokea baada ya Kumpelekea Fundi aipige Chini Window. Na alishindwa kulitatua Tatizo hili.
Ngoja nijaribu Mkuu, Nitarudi kwako.jaribu kufuata maelekezo hapo juu kwanza, kisha tutaendelea
Sema nina tatzo moja PC yang ilitaka nifany activation ya window nkatumia Microsoft toolkit ikakaa poa ila baada ya muda tena ikawa inajiandika kwny screen kwa chin kuwa n activate windows nkahs labd setup ya toolkit imeliwa na antvirus nkadownload upya huku nkiwa nmezuia ad window defender ila still bado iko vlevle inaniandkia niactivate, msaada plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona link inakataa..... Hv naweza download kwa cm thn nkaitumia kwny lapdownload hii activator kisha turn off window defender install kisha
ndioNaona link inakataa..... Hv naweza download kwa cm thn nkaitumia kwny lap
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimefanya hivyo Sioni Cursor ili nifanye Troubleshooting