Kama upo iringa, mbeya, njombe, songea, rukwa, katavi, dodoma, morogoro au dar es salaam hata popote pale ulimwenguni, na mtu unayependa kujua vitu kama elimu, michezo, taarifa na uchambuzi yakinifu kama uanze hivi kufuatilia radio ebony fm kila siku katika habari yake iliyojaa umakini na uchambuzi pia maoni ya msikilizaji wa habari kila siku juma tatu mpaka juma pili saa moja asubuhi saa saba mchana na habari, uchambuzi, michezo, na maoni saa kumi na moja jioni
kuna elimu yakutosha.
We ni Mtangazaji/Mwandishi wa habari? mbona hujui hata kuandika? hujui herufi kubwa na ndogo zinakaa mahali gani, halafu unataka tuje tusikilize unachokiandaa?
Wadau naomba mnijuze kuhusu tetesi eti walimu wataichagua CCM kwa mara nyingine ili kuthibitisha kuwa wao kweli ni vilaza.......! eti serikali imewaandalia vinyongeza vya mishahara kuwarubuni..........