Jifunze kwa kusikiliza taarifa ya habari ya Ebony FM

Jifunze kwa kusikiliza taarifa ya habari ya Ebony FM

edwin adenisy

New Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
3
Reaction score
1
Ramani ya ulimwengu ya radio ebony fm.

Kama upo iringa, mbeya, njombe, songea, rukwa, katavi, dodoma, morogoro au dar es salaam hata popote pale ulimwenguni, na mtu unayependa kujua vitu kama elimu, michezo, taarifa na uchambuzi yakinifu kama uanze hivi kufuatilia radio ebony fm kila siku katika habari yake iliyojaa umakini na uchambuzi pia maoni ya msikilizaji wa habari kila siku juma tatu mpaka juma pili saa moja asubuhi saa saba mchana na habari, uchambuzi, michezo, na maoni saa kumi na moja jioni

kuna elimu yakutosha.

EBONY LOGO.jpg
 
We ni Mtangazaji/Mwandishi wa habari? mbona hujui hata kuandika? hujui herufi kubwa na ndogo zinakaa mahali gani, halafu unataka tuje tusikilize unachokiandaa?

Vipi kuhusu Tangazo hili, umelipia?
 
Hivi mm niko dar....halafu unisikilizishe redio kutoka nje ya mkoa huu!!!!kama sielewi hivi.
 
Wadau naomba mnijuze kuhusu tetesi eti walimu wataichagua CCM kwa mara nyingine ili kuthibitisha kuwa wao kweli ni vilaza.......! eti serikali imewaandalia vinyongeza vya mishahara kuwarubuni..........
 
Back
Top Bottom