Peter Mwaihola
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 276
- 460
Jose Mourinho anasema nilipokuwa kocha wa Inter Milan alikuja mbele yangu mchezaji Zlatan Ibrahimovic akasema nataka kuondoka klabuni hapa ili nikashinde ubingwa wa UEFA.
"Wasaidizi wangu walihofia wakiamini kuwa hatuwezi kushinda bila yeye, hata wachezaji wenzake hawakutaka tumpoteze".
Hata mimi nilipata hofu lakini nikasema pengine ukiondoka tutashinda.
Kisha nikasema kama ataondoka tutajaribu kumsajiri Samuel Etoo ambae alikuwa anacheza Barcelona ambayo Etoo alitaka kwenda.
Niliamini kuwa Diego Milito na Etoo wanaweza kuleta kitu cha tofauti kimbinu ndani ya timu yetu.
Mazungumzo yakafanyika Ibrahimovic na Etoo wakabadilishana timu.
Ibrahimovic alidumu kwa msimu mmoja tu ndani ya Barcelona lakini Etoo alishinda mataji matatu mfululizo akiwa na Inter.
Kupitia kisa hiki tunajifunza kwamba kwenye maisha kuna wakati unatakiwa kuwaacha baadhi ya watu waondoke kwenye maisha yako hata kama unawapenda sana.
Inawezekana Mungu amepanga ushinde makubwa ukiwa bila wao kwa sababu uwepo wao unaziba milango ya watu wengine waliobora kuja kwenye njia yako na kukusaidia kufikia malengo yako.
[emoji2398] Peter Mwaiholaa