Jifunze kwa mpangaji wa nyumba yako na sio kumfanyia visa

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
7,755
Reaction score
11,737
Nipo jirani na mwenye nyumba ambae mpangaji wake anatengeneza udongo wa mpemba toka Kigoma baada ya kuambiwa faida zake.

Mwenye nyumba kaanza visa, mara vumbi linaleta mafua, mara unachafua nyumba na vumbi lako.

Hii sio sawa.
 
Nipo jirani na Mwenye nyumba,Ambae mpngaji wake anatengeneza udongo wa mpemba toka Kigoma baada ya kuambiwa faida Mwenye nyumba kaanza visa!Mara vumbi linaleta mafua !Mara unachafua nyumba na vumbi lako!Hii sio sawa.
Mpangiji please nilekebishie hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…