Jifunze kwa nini "Time travel" inawezekana!

Jifunze kwa nini "Time travel" inawezekana!

Senator jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2016
Posts
367
Reaction score
496
Habari za uzima wakuu!
Watu wengi wamekuwa namaswali kuwa time travel haiwezkani.
Kwa nini
Hii ni kutokana na kanuni za Newton za Mwendokasi.
kuwa haiwezkani kwa kuwa ili kuurudisha muda nyuma itabidi na mass nayo ibebwe ambacho ni kitu hakiwezkani mean kiko infinity.
Lakini inasemekana kuwa ukiweza kukimbia spidi kuupita Mwanga kutoka katika solar system kitu ambacho hakiwezkani.
Tuje kwenye mada
Njia ya kutumia wormholes na space ships inawezekana na hii ndio njia wanayotumia Aliens kusafiri kutoka kwenye sayari zao za mbali.
Sitaekezea kwa mapana ila nahitaji wakuu wengine kama kina
@Monstagla ba wengine mje labda kuba kitu mnaweza nijuza kwa mapana zaidi..
With regard
1469815101344.jpg
 
Hehehe ati wormholes wanatumia aliens. Mkuu nani alikwambia tumekutana na alien life form hata siku moja? Usiniambie wewe ni moja ya watu wanaoamini conspiracies za Area54.

A wormhole yenyewe hadi sasa hivi bado ni theoretical, hatuna uhakika kama they act kama tunavyopredict, inaweza kua kweli yana connect two far away destinations kwa kubend spacetime lakini inaweza isiwe kweli not until tume~experience na kuprove kua ni kweli kitu ambacho hadi leo hii hatujawahi fanya.

Tumeobserve wormholes mara chache na hata calculations zinaonyesha kua they do exist, ila still usitegemee kurudi 1999 kwa kutumia wormhole, it doesnt go that way, wormhole ikiwa formed leo, kama theory iko correct hutoweza kwenda nyuma in time kuliko leo, limit ni the time it was formed. Stil theory, no proof whatsoever.

Sayansi ni kitu amazing pamoja na theories zote hizi, siku moja watu watakuja kuprove right or wrong yote haya, ila moja ambalo nahisi litawezekana kabisa ni kutoka from point moja ya universe hadi nyingine within a flash. Kuhusu time sina uhakika, kuna paradox kibao hilo hata physicits wa miaka mingi linawaumiza kichwa.
 
Boss Mbona hujafafanua sasa. Ni tegemeo langu haya mawazo sio ya kwenye filamu uliyoiangalia jana
watu wenye akili za kisayansi hivyo ndivyo wanavyo elewanaga lakini sisi ambao hatuna akili za hivyo kuwaelewa ni kazi sana.
 
Nilikuwa nasoma kwa umakini nilivyoona aliens tu nikaacha hata kuisoma kwa maana ni porojo tulizozea.
 
Habari za uzima wakuu!
Watu wengi wamekuwa namaswali kuwa time travel haiwezkani.
Kwa nini
Hii ni kutokana na kanuni za Newton za Mwendokasi.
kuwa haiwezkani kwa kuwa ili kuurudisha muda nyuma itabidi na mass nayo ibebwe ambacho ni kitu hakiwezkani mean kiko infinity.
Lakini inasemekana kuwa ukiweza kukimbia spidi kuupita Mwanga kutoka katika solar system kitu ambacho hakiwezkani.
Tuje kwenye mada
Njia ya kutumia wormholes na space ships inawezekana na hii ndio njia wanayotumia Aliens kusafiri kutoka kwenye sayari zao za mbali.
Sitaekezea kwa mapana ila nahitaji wakuu wengine kama kina
@Monstagla ba wengine mje labda kuba kitu mnaweza nijuza kwa mapana zaidi..
With regardView attachment 373093
Uzi kama huu upo somewhere humu ndani.Utafute una mchango mizuri sana.
 
blaza fanya kuelezea hii post kama ulivokusudia.. wewe umetaka kutuelimisha kumbe na we unahitaji kuelimishwa. kuwa makini next time haiwezekani kunya unye wewe kuzoa azoe mwingine.
 
Back
Top Bottom