Acha uongo, haoni aibu!? , ndio maana hamna maendeleo, sema kweli bana.
Maruani wako hao wanaongea lugha yetu ya Kiswahili, Teh, Teh...
Acha uongo, haoni aibu!? , ndio maana hamna maendeleo, sema kweli bana.
Maruani wako hao wanaongea lugha yetu ya Kiswahili, Teh, Teh...
Sasa watu wajifunze kiarabu wapate nini wewe, watu wanajifunza English Kifaransa Kijerumani kwaajili ya ajira masomo kwa maendeleo sasa hicho kiarabu waarabu wenyewe kama waafrika tu,
ni sawa na kujifunza kindengereko.
Kule peponi nasikia kwa waislamu waliokwishafika kwamba kama unajua kusoma kur aan unapelekwa gesti ndani kuna mabinti saba wote mabikra. sasa sijaambiwa wanawake wakifika huko wanapewa kitu gani. hebu kwa aliyefika na kurudi atuhabarishe
Ndugu zangu hii phone application ya kujifunza lugha ya Kiarabu kwa Kiswahili nzuri sana kwa family (hasa kwa Waisilamu, itawasaidia kusoma Quran In Sha Allah) inafanya kazi katika simu za Android 
Check out "Jifunze Kusoma Kiarabu" - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.MDS.kiarabu
Mr. Mahmood unakosea kusema wajifunze waislamu,unamaanisha uarabuni wanaishi waislamu tu au wasio waislamu lugha ya kiarabu siyo haki yao kujifunza? Mi binafsi najuwa kiarabu ni lugha kama lugha zingine za kigeni kama kiingereza,kichina,kifaransa,kiitaliano.. Hivyo kubagua kundi moja tu hutendi haki kwa wanaopendakujifunza.
kwa anaye penda namshauri ajifunze kwani ndiyo lugha ya peponi mimi ni muislamu na ninaamini katika hili na wala si hitaji ushauri wowote juu ya hili kwani katika imani ni kuamini na kufuata kama jinsi maandiko matakatifu katika qur an yanavyo nena ewe m.mungu nisaidie katika hili
duh.kiarabu cha nin kwan?????kwao wanajilipua tu.very uncivilized.mabomu ya kuvaa,kuuana.jaman ivi ntapata nn kujua iyo lugha kama si shida.kamwambie samatha lee white na syria uko.au boko haram.khaa