Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 671
Mr. Mahmood unakosea kusema wajifunze waislamu,unamaanisha uarabuni wanaishi waislamu tu au wasio waislamu lugha ya kiarabu siyo haki yao kujifunza? Mi binafsi najuwa kiarabu ni lugha kama lugha zingine za kigeni kama kiingereza,kichina,kifaransa,kiitaliano.. Hivyo kubagua kundi moja tu hutendi haki kwa wanaopendakujifunza.
Amesema itawasaidia hasa waislam kwenye kusoma Quran hajasema waislam pekee...munamquote vibaya mleta mada
