Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 671
Mr. Mahmood unakosea kusema wajifunze waislamu,unamaanisha uarabuni wanaishi waislamu tu au wasio waislamu lugha ya kiarabu siyo haki yao kujifunza? Mi binafsi najuwa kiarabu ni lugha kama lugha zingine za kigeni kama kiingereza,kichina,kifaransa,kiitaliano.. Hivyo kubagua kundi moja tu hutendi haki kwa wanaopendakujifunza.
Na Mungu wa Waislam anaitwaje? Maana Jehova yeye kajitambulisha kuwa ni Mungu wa Israel, anabariki waibarikio Israel na anawalaani wailaanio Israel. Yeye alimtuma Yesu ili aokoe ulimwengu,Anaitwa Allah kwa kiarabu.
AiseeeNa Mungu wa Waislam anaitwaje? Maana Jehova yeye kajitambulisha kuwa ni Mungu wa Israel, anabariki waibarikio Israel na anawalaani wailaanio Israel. Yeye alimtuma Yesu ili aokoe ulimwengu,
tena yeye alimuumba mwanadamu kwa mfano wake, wakati Allah Mungu wa waislam hafanani na kiumbe chochote
Nenda kasome zaidi Bro,
Nenda kasome history za manabii wote wametoka inchi gani?
Mimi nishajifunza tayari, MAN ANTA?
Sijui nani anishawishi kujifunza HIYO lugha isee
JARIBU KUJIFUNDISHA TOFAUTI YA LUGHA YA KIARABU NA DINI YA KIISLAM/ KAMA UNAVYOWEZA KUJIFUNZA TOFAUTI YA LUGHA YA KIINGEREZA AMA KIYAHUDI NA IMANI YA KIYAHUDI.