Jifunze lugha za kibantu

Jifunze lugha za kibantu

Senior masai

Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
88
Reaction score
89
Habari wanaJF,

Natamani ningepata mtu wa kunitengenezea application au system ya watu kujifunza lugha mpya za kibantu na zile za zisizo za kibantu.

Kwa yeyote anaeweza kuandaa mfumo kama huu ukafanya kazi kwa mifumo ya sauti na maandishi

Namna ya watu kutamka maneno pia kuyaandika.

Mfano mtu ni mbena na anataka ajifunze kichaga au kipare mpaka akifahamu chote.

Nitagharamikia kama litafanikiwa hili.

NATANGULIZA SHUKRANI
 
Back
Top Bottom