Jifunze lugha za kigeni ndani ya jf

Jifunze lugha za kigeni ndani ya jf

holygrail

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
1,303
Reaction score
597
Habari zenu wandugu. Basi kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeamua kutaka kumwaga darasa humu jamvini kati ya lugha zifuatazo: KISOMALI, KIARABU, KIFARANSA na KITURUKI. Hii naona itasaidia sana watanzania mana naona wengi wenu mnajua kiswahili tu na english ya kugongagonga.Hivyo basi inabidi wanajamvi mchague tuanze na lugha ipi? Lugha itakayopata kura nyingi ndiyo hiyo tutakayoanza nayo. karibuni wandugu.
 
acha longolongo,hizo kura nyingi ndo nini?ila naamini unataka kuzingua tu ,hauna lolote.
 
Huwa ninajiuliza kila siku lakini sipati jibu! hivi sisi watanzania tukoje yani kila kitu tunafikiri ni bla bla !!!? Tukiendelea hivi ni vigumu sana kufika tunapokutaka!!!
 
Habari zenu wandugu. Basi kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeamua kutaka kumwaga darasa humu jamvini kati ya lugha zifuatazo: KISOMALI, KIARABU, KIFARANSA na KITURUKI. Hii naona itasaidia sana watanzania mana naona wengi wenu mnajua kiswahili tu na english ya kugongagonga.Hivyo basi inabidi wanajamvi mchague tuanze na lugha ipi? Lugha itakayopata kura nyingi ndiyo hiyo tutakayoanza nayo. karibuni wandugu.
weka na kichina nitakusaidia ni mtaalam anga hizo
 
Huwa ninajiuliza kila siku lakini sipati jibu! hivi sisi watanzania tukoje yani kila kitu tunafikiri ni bla bla !!!? Tukiendelea hivi ni vigumu sana kufika tunapokutaka!!!
kama sio bla bla ni nini wakati unasema lugha itakayo pata kura nyingi!!!pia hujatoa deadline ya kupiga kura,je kama mwenyewe umejiwekea mpaka kura ya juu zifike 1,000 au upigaji wa kula mpaka mwakani ?je kutakuwa na somo hapo?hautujengie sisi wengine tuona kama ni bla bla tu mkubwa?hata hivyo sina lengo la kukuvunja moyo na kama somo loolote utaloanza nalo pia mi nitakuwa mwanafunzi wako.
 
Mimi napenda sana lugha za kigeni, tukijifunza kwa kutumia lugha ya kiswahili...
 
Back
Top Bottom