Jifunze lugha za kigeni ndani ya jf

Jifunze lugha za kigeni ndani ya jf

kifaransa,
Naiwe kweli lakn maana isijekuwa unahitaji post yako ijae kwa kura zetu.
 
Hilo darasa linaanza lini sasa? Ndio maana uliambiwa unazingua ukabisha!!
 
mpaka sasa kura zilizopatkana ni:
1.kifaransa=6
2.kiarabu=3
3.kisomali=2
4.kituruki=0
kwa kura hizo mkuu tuanze na kifaransa.
 
Haya wanaotaka kifaransa waseme ndioooo na wanaotaka kiarabu waseme ndiooo na wanaotaka...
 
Ooyooo mchagua jembe si kulima hicho kizugu makamasi je hizo zingeni si atakuwa kigugumizi tena kikali na na hili tangazo lako si ya kwanza ni kurudia na kurudia na kila mara kura na hiyo ya kwenda wapi ahera au bungeni mi naona kama ni mzamb zabina na huna lolote labda hawa wa akili mgando tena wapo wengi kwa kupenda vya bure
 
Ongeza na italian nitamsaidia

Mkuu napenda sana kujifunza lugha ya Kitaliano, napenda sana niweze kuzungumza hii lugha huwa naagalia tv RAI ITALIA navutiwa sana wanavoongea japo naambulia machache sana, je hapa Dar naweza kujifunza wapi lugha hii.?
 
Back
Top Bottom