acha longolongo,hizo kura nyingi ndo nini?ila naamini unataka kuzingua tu ,hauna lolote.Habari zenu wandugu. Basi kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeamua kutaka kumwaga darasa humu jamvini kati ya lugha zifuatazo: KISOMALI, KIARABU, KIFARANSA na KITURUKI. Hii naona itasaidia sana watanzania mana naona wengi wenu mnajua kiswahili tu na english ya kugongagonga.Hivyo basi inabidi wanajamvi mchague tuanze na lugha ipi? Lugha itakayopata kura nyingi ndiyo hiyo tutakayoanza nayo. karibuni wandugu.
acha longolongo,hizo kura nyingi ndo nini?ila naamini unataka kuzingua tu ,hauna lolote.
weka na kichina nitakusaidia ni mtaalam anga hizoHabari zenu wandugu. Basi kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeamua kutaka kumwaga darasa humu jamvini kati ya lugha zifuatazo: KISOMALI, KIARABU, KIFARANSA na KITURUKI. Hii naona itasaidia sana watanzania mana naona wengi wenu mnajua kiswahili tu na english ya kugongagonga.Hivyo basi inabidi wanajamvi mchague tuanze na lugha ipi? Lugha itakayopata kura nyingi ndiyo hiyo tutakayoanza nayo. karibuni wandugu.
kama sio bla bla ni nini wakati unasema lugha itakayo pata kura nyingi!!!pia hujatoa deadline ya kupiga kura,je kama mwenyewe umejiwekea mpaka kura ya juu zifike 1,000 au upigaji wa kula mpaka mwakani ?je kutakuwa na somo hapo?hautujengie sisi wengine tuona kama ni bla bla tu mkubwa?hata hivyo sina lengo la kukuvunja moyo na kama somo loolote utaloanza nalo pia mi nitakuwa mwanafunzi wako.Huwa ninajiuliza kila siku lakini sipati jibu! hivi sisi watanzania tukoje yani kila kitu tunafikiri ni bla bla !!!? Tukiendelea hivi ni vigumu sana kufika tunapokutaka!!!
weka na kichina nitakusaidia ni mtaalam anga hizo
Kijerumani.