Jifunze lugha za kigeni ndani ya JF

holygrail

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
1,303
Reaction score
597
Habari zenu wandugu. Basi kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeamua kutaka kumwaga darasa humu jamvini kati ya lugha zifuatazo: KISOMALI, KIARABU, KIFARANSA na KITURUKI.

Hii naona itasaidia sana watanzania mana naona wengi wenu mnajua kiswahili tu na english ya kugongagonga. Hivyo basi inabidi wanajamvi mchague tuanze na lugha ipi? Lugha itakayopata kura nyingi ndiyo hiyo tutakayoanza nayo.

Karibuni wandugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…