Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Sawa wandugu kesho jioni panapo majaaliwa nitaanza rasmi na lugha mbili, yani kifaransa na kituruki. Hivyo basi wale ambao wamechagua kifaransa watapata darasa lao na wale ambao wamechagua kituruki watapata darasa lao. ZINGATIO: kama ni kweli una nia ya kusoma moja kati ya kozi hizo mbili si vibaya ukawa na daftari maalum kwa ajili ya kozi hiyo. Karibuni wandugu.
Ahsante sana mwalimu