Jifunze lugha za kigeni ndani ya JF

Jifunze lugha za kigeni ndani ya JF

Sawa wandugu kesho jioni panapo majaaliwa nitaanza rasmi na lugha mbili, yani kifaransa na kituruki. Hivyo basi wale ambao wamechagua kifaransa watapata darasa lao na wale ambao wamechagua kituruki watapata darasa lao. ZINGATIO: kama ni kweli una nia ya kusoma moja kati ya kozi hizo mbili si vibaya ukawa na daftari maalum kwa ajili ya kozi hiyo. Karibuni wandugu.

Ahsante sana mwalimu
 
KIARAABU kwa kuwa ni Baba wa lugha ya Kiswahili na Mama wa lugha zote !! uliza kabla hujabisha au kucomment !! na sisi tup karibu sana na kiarabu kuliko kifaransa!! ikiwa humu JF wengi sana baada ya lugha ya Kiswahili hata kiengezra ni ZERO !! amueni....!
 
Ah Jamani mbonasioni kinacho endelea hapa wu mkiukatuscha kwa Mata nini?
 
eti ticha kujifunza kiarabu lazima niwe mwislamu?
 
il faut penser car vous donnez vos opinions,trois langue français,anglais et arabe sont important dans notre pays.kujua lugha tofauti kuna ladha yake,namtafuta mtu anayejua kiarabu,aeleze kiunagaubaga kinaurahisi na ugumu gani ktk kujifunza
 
Ils venez juste ici mon ami!
 
Back
Top Bottom